Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

naona kwa wale covid-19 kazima data
 
Hotuba nzuri yenye matumaini lkn nasikitika hajaongelea kuhusu katiba mpya
 
inaendeshwa kwa hasara,mama kasema tumtafute mwekezaji ibinafsishwe
 
Mambo ya ajabu sana. Katiba imembeba kuingia Ikulu lakini yeye kashindwa kuiheshimu ili kuwaondoa hao COVID-19!!! Mambo ya ajabu sana ya kuchagua vipengele vya katiba ambavyo vinamfagilia yeye lakini kuvidharau vile ambavyo vinasimamia maslahi ya Watanzania (walipa kodi)
naona kwa wale covid-19 kazima data
 
Tuombee uhai wa Magu? Kwani kafufuka?

Au na mimi nimekufa kama mkuu wa mkoa wa Mbeya?
 
Mama anazidi kuwapiga chenga Nyumbu wa Ufipa,mbona mtaisoma namba Bavicha!
B mkubwa chapa mwendo Mama.
Mbona Umepiga U-TURN mapema sana?
Umeachana na mahaba yako kwa Mwendazake?

Week 3 zilizopita wewe ulikuwa mpinzani wa sera za mama, ghafla leo unazishabikia sera zilezile ulizokuwa unaziponda.

Mataga bana....
 
14: wabunge 19 wa upinzani
 
Hivi mlikuwa serious kusubiria hili jambo angejihusisha nalo??
Hawezi kuifanyia embarrassment ya aina hiyo CCM ambayo ni chama chake na hasa kama anataka kipindi cha pili.
 
Kuna mmoja anasinzia balaa
Walikuwa wengi sana wasinziaji. Unajua muda ule ni muda wa digestion ya misosi, wengi tulikua tumwtoka lunch.
Back to topic, nimependa hotuba ya mama. Ana lengo la kuiondoa nchi na mkwamo iliotokana na siasa za kiongozi aliyepita. Amefanya vyema kukutana na wanasiasa wa vyama shindani, itasaidia kuweka utangamano wa wananchi baada ya msukuma kutuharibu na kutufanya tuchukiane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…