Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Hii Nchi ni ya Watanzania wote si ya maccm wala ya Samia ni LAZIMA Katiba IHESHIMIWE ili kuzuia huu wizi wa zaidi ya bilioni 3.6 roughly kwa mwaka
Hivi mlikuwa serious kusubiria hili jambo angejihusisha nalo??
Hawezi kuifanyia embarrassment ya aina hiyo CCM ambayo ni chama chake na hasa kama anataka kipindi cha pili.
 
Mungu anaipenda sana Tanzania.

Mungu kumbe ukimuomba anajibu hata kwa wakati

Siamini kama leo tupo huru tena ndani ya nchi yetu....

Hakika Mungu ashukuliwe na liwe funzo kwa manyang'au wote waliotaka kutupeleka kusiko.

"I Love this country".
God is faithful!
 
Nchi hii imeshakuwa ya kijinga sana yani tumekuwa Taifa la kupima uelekeo wetu kwa maneno tu yaani leo tukiambiwa kuwa mwaka ujao kila Mtanzania atakuwa na gari basi watu wote wanatoa meno nje na kusema ama kweli tumepata Rais

Mama yetu ningependa kukushauri acha maneno mengi fanya kazi wanaokupongeza kwa hotuba hao ni wanafiki. Tena katika Hotuba yako ya leo kuna moja walilokuwa Wanasubiri nalo ni wewe kusema utakutana na Viongozi wa vyama vya kisiasa ilo ndilo hitaji lao maana Twitter leo ni kama hamna watu vile ipo kimya wapo Bize wanaanda suti za kuja Ikulu.
 
Ahadi ya leo ni kumsaka veronica francee popote pale maana anapotosha huko mitandaoni kwamba magu kauwawa na jk...
 
Mama uwezo mdogo sana, maneno mengi mpaka sasa hatujaona lolote jipya.

Ataloweza labda ilo kurudisha siasa za upinzani.
Subira huvuta kheri! Mda upo mwingi Sana....c ameingia juzi tu
 
Ana maneno mengi kama ya JK—yanapoza huku nyuma tembo wetu wanamalizwa.
Halafu suala la Katiba mpya wanaliogopa kama ukoma enzi za agano la kale na jipya katika biblia. Hakuna jipya, tutabembelezwa kwa maneno mengi na lugha tamu.
 
Nawaonya wale wote wanaodhani kuondoka kwa jeipiemu kutakuwa hakuna usimamizi wa mali za umma, uzembe, wizi...nataka niseme hayati amekwenda peke yake, maono yake tunaendelea kuyafanyia kazi.....
Kama unateseka vile......!!!!
 
Mambo ya ajabu sana. Katiba imembeba kuingia Ikulu lakini yeye kashindwa kuiheshimu ili kuwaondoa hao COVID-19!!! Mambo ya ajabu sana ya kuchagua vipengele vya katiba ambavyo vinamfagilia yeye lakini kuvidharau vile ambavyo vinasimamia maslahi ya Watanzania (walipa kodi)
Njemba inakuwaga na machungu hii....
hahaaa noma kweli...
wanasiasa watakutia uwendawazimu ww
 
Back
Top Bottom