Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

we ni f.a.l.a mgese nn, Rais ana mwez mmoja kazini mnataka awe amefanya vingapi?

Mama apunguze mafumbo,watanzania tulio wengi ni Wanyonge hatuwezi kudhanganua mafumboπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Price tag mbele ya Mtutu wa Bunduki ni nini zaidi ya kusurender??. Sema mmechukia Mama alipotaja neno Demokrasia...
 
Mkuu nilijua ni mimi peke yangu niliyesikia yale yale ya kale! Utapopomwa hapa but ukweli ni kwamba talkers are not good doers at all! Time will tell Let us wait and see!
"Talkers are not good doers at all!!"

Ni kweli kabisa! Hata jiwe alikuwa anaongea sanaaaaa lakini mambo hayaendi!
 
Viongozi wa waislamu uamsho waachwe na kulipwa fidia wako kwenye kifungo ambacho hawakustahili viongozi wanajua hata mahakama inajua unafanya kosa zanziber unakuja kuwekwa rumande tanganyika
 
We needed it... i loved it.
Ila bora hata huyu alikuwa anahutubia, na pia hotuba yake ina matumaini walau kwa kiasi fulani.

Yule mtangulizi wake alikuwa ni kufoka foka tu mwanzo mwisho!! Na pia kutuchimba mikwara mbuzi, na kutoa maagizo yaliyojaa mihemko!
 
Yaani mama ndo kwanza ana mwezi na siku tatu mnataka awe kaigeuza Tz kuwa kama China.

Halafu jiwe miaka kumi mliona haimtoshi mkaanza upuuzi wa kuilawiti demokrasia ili atawale 'milele'

Tuachieni mama yetu anatosheleza, mnaomtaka jiwe njia ni nyeupe, kamba na sumu za kila aina zimejaa tele.
 
Toka katoa tamko la vifurushi mpaka Sasa hajatekeleza kaliacha ila anataka atuahid kua anataka afanye mengine
 
We jamaa umefunga Ramadhani? Kama umefunga kwa chuki hizo kwa ndugu zako wa kitanzania kunywa tu maji hakuna ulichofunga
Au kosa ni Mh. Rais kutoa hotuba wakati wa mfungo!
 
Au kosa ni Mh. Rais kutoa hotuba wakati wa mfungo!
Angeshungulika na swala moja baada ya lingine subir akipata hotuba ingine uone mapya yatayo Semwa umo Maswala ya Bandar na mishahara atakua kyamaliza tayar atakuja na Ahad mpya
 
Leo watajisaidia kitandani hii hotuba inawachoma sana na kunawatu wamezima tiv wameingia chumbani kulia saizi.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Angeshungulika na swala moja baada ya lingine subir akipata hotuba ingine uone mapya yatayo Semwa umo Maswala ya Bandar na mishahara atakua kyamaliza tayar atakuja na Ahad mpya
Sasa hivi Mheshimiwa atakuwa anaandaa hotuba nyingine ya Mei Mosi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…