Mama kazingua leo[emoji848][emoji848][emoji848]unajua sijaamini kabisa,yaani wizara ya elimu kaisamaraizi hatari[emoji1787][emoji1787]!
Kwa hii hotuba Watumishi wa Umma tuendelee kukaza mkanda,huyu si yeye!
TUMECHOKA maneno Sasa tunataka MATENDO.
Anaongea vitu hata havifanyiki!!!
Mama anafanya siasa Mipasho.
Mtandao upi? Acha fix wewe pimbi.Mpk sasa ameshindwa kurekebisha hata bei za vifurushi.
Ndio naona Mama analuck hili. Anamipango lukuki. Inabidi yeye na team yake wawe realistic na mipango hii. Na si kila hotuba aseme mipango 100!! Aongee tu kiufupi mambo ya msingi kwa muelekeo wa serikali yake.tupunguze mipango tudeal na machache tunayoweza, tunashika shika mengi sana kwa pamoja.....hii inaitwa kudanda danda...
Wala akuna aliechukia.kinachotakiwa watanzania wote twende na mama akipitishwa tena na CCM kugombea 2025 pia twende nae ili atimize kikamilifu mchakato wa demokeasia,atutaki wenyeviti wa kudumu kwenye vyama vya siasa.Price tag mbele ya Mtutu wa Bunduki ni nini zaidi ya kusurender? Sema mmechukia Mama alipotaja neno Demokrasia.
Na kosa kubwa zaidi ilikuwa kuipa 'monopoly'. Hilo linasababisha kusiwe na ubunifu kwasababu hakuna competition. Usafiri wa anga ulikuwa mzuri sana kabla ya ATCL na nadhani ilikuwa bora kuimarisha mazingira ya uwekezaji kuliko kinachoendelea sasa hivi...mimi nilisema atcl haina tija.
..na nilisema toka wakati wa jk.
..sasa hebu tueleze kama wewe unaamini atcl ina tija.
Aliyesaini mkataba kaondoka na hatujui katuachia msala gani. Hivi kwanini hawa Wabunge hawadai kuona mikataba? Kwanini wananchi ambao ni walipa kodi wasione mikataba?..Stieglers nimesema niko 50/50. Inaweza kuwa na tija kama tumejenga kwa mkopo wenye masharti nafuu.
..Je, wewe unafahamu kama mkopo wa kujenga stieglers ni wa masharti nafuu? Mbunge wako anafahamu?
Hili swali hakuna anayejiuliza. Hivi kwanini Tazara inajiendesha kwa hasara? Na kipi kitakuwa tofauti na sgr?..Sgr nimeonya kwamba tuwe waangalifu kwenye mkopo. Pia nimeonya Sgr kwamba faida iko kwenye mizigo, na siyo abiria.
..Je, tuna mkakati wa kuwa na viwanda vitakavyozalisha shehena / mizigo ya kutosha ili Sgr iendeshwe kibiashara?
..Kama Tazara inaendeshwa kwa hasara, je ni makosa wananchi kuwa na wasiwasi kuhusu hatima ya Sgr?
ulizoea kutukanwa ndiyo maana hauelewiBinafsi leo nimetoka kapa aka sijaelewa kitu... mpaka nikawa najiuliza ina maana mimi ni kilaza wa aina gani
Pumbuz
Yaani mama ndo kwanza ana mwezi na siku tatu mnataka awe kaigeuza Tz kuwa kama China.
Halafu jiwe miaka kumi mliona haimtoshi mkaanza upuuzi wa kuilawiti demokrasia ili atawale 'milele'
Tuachieni mama yetu anatosheleza, mnaomtaka jiwe njia ni nyeupe, kamba na sumu za kila aina zimejaa tele.
Lakini nikizikumbuka enzi za MAGU,naona Mara 100 MAMA hata akivurunda hatafkia nusu ya Magu