Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Ujamaa wa bashiru ndio umepigwa stop pale mshauri wa uchumi wa rais ni mwanamama anayekubalika na world bank [ tafiti walizokuwa wanafanya kwenye taasisi aliyotoka zilikuwa zinafadhiliwa na taasisi zenye mrengo wa world bank!!] hivyo tutegee sera zetu za uchumi kuwa world bank influenced.
 
Baada ya kuondolewa katika nafasi yake ya ukatibu mkuu iliyodumu kwa siku 30 na kupewa ubunge
Bashiru hajaonekana hadharani mara tu baada ya kuapishwa mpaka leo
Je yuko wapi kiongozi huyu mahiri na mjamaa?
Huyooo

E2CFAF09-6E93-4772-84CC-9EF1590178EE.jpeg
 
Baada ya kuondolewa katika nafasi yake ya ukatibu mkuu iliyodumu kwa siku 30 na kupewa ubunge
Bashiru hajaonekana hadharani mara tu baada ya kuapishwa mpaka leo
Je yuko wapi kiongozi huyu mahiri na mjamaa?
Yupo ,mda wote kichwa na mwili wake umejaa mawazo Sana, kumbe bora kua maskini ukiwa na amani ya moyo kuliko kuwa na cheo, fedha huku hauna amani ya moyo
 
Jana camera za bunge zilimmulika, ila anaonekana hana raha sasa sijui ni sura yake iko hivyo mda wote au ana stress
 
Wapi mutoto ya Mlimani...!

Na papaa Lugola, muzee ya mapambio!

Kibwagizo: Samia jembe si jembe?!! 😂
 
Yote hayo mama kayasema hivi mnasikiliza hotuba mkiwa mnawaza nini mbona unakichwa kama panzi jike.
Mkuu, Nimeweka hii post kabla Raisi hajazungumza, na nimeweka kama maoni yangu personally ya nini nategemea kusikia.
 
Ni vigumu sana
Lakini hili litawezekanaje bila kubadili sheria mbaya zilizopo? Mtu anakamatwa bila uchunguzi kukamilika, matokeo yake wanaishia kumbambikizia kesi.
 
Back
Top Bottom