Hahaha.... Kutoka Ukatibu Mkuu wa chama mpaka kuwa Mbunge wa Viti maalumu same as Halima Mdee.Ukitaka kumwona, uwe unaagalia bunge.
HuyoooBaada ya kuondolewa katika nafasi yake ya ukatibu mkuu iliyodumu kwa siku 30 na kupewa ubunge
Bashiru hajaonekana hadharani mara tu baada ya kuapishwa mpaka leo
Je yuko wapi kiongozi huyu mahiri na mjamaa?
Maisha ya Awamu ya 4Anajua kabisa Kuna watu wanaiba alafu wizi wao unakua sehem ya maongez badala ya maamuz yani fulan kaiba kuku wangu Kala supu Leo alafu unampotezea what next?
Yupo ,mda wote kichwa na mwili wake umejaa mawazo Sana, kumbe bora kua maskini ukiwa na amani ya moyo kuliko kuwa na cheo, fedha huku hauna amani ya moyoBaada ya kuondolewa katika nafasi yake ya ukatibu mkuu iliyodumu kwa siku 30 na kupewa ubunge
Bashiru hajaonekana hadharani mara tu baada ya kuapishwa mpaka leo
Je yuko wapi kiongozi huyu mahiri na mjamaa?
Threads zingine ni za Kitoto na Kipuuzi.Baada ya kuondolewa katika nafasi yake ya ukatibu mkuu iliyodumu kwa siku 30 na kupewa ubunge
Bashiru hajaonekana hadharani mara tu baada ya kuapishwa mpaka leo
Je yuko wapi kiongozi huyu mahiri na mjamaa?
Amekonda na anasikitisha. Uzuri wa Mungu hadanganyiki wa hadhihakiwi. Anatenda mambo makubwa kwa wakati wake!
Mkuu, Nimeweka hii post kabla Raisi hajazungumza, na nimeweka kama maoni yangu personally ya nini nategemea kusikia.Yote hayo mama kayasema hivi mnasikiliza hotuba mkiwa mnawaza nini mbona unakichwa kama panzi jike.
Mnafiki mkubwa huyu acha apotee kabisa.Baada ya kuondolewa katika nafasi yake ya ukatibu mkuu iliyodumu kwa siku 30 na kupewa ubunge...
Mbunge viti maalum
[emoji3]mlale mahali pabaya kuzimu[emoji1550][emoji1550][emoji2839]Haya bhana, chato tunakusalimia na kukutakia usiku mwema
🤣🤣🤣 Maisha haya, kaaz kwel kwel!Ni jambo jema!
Rais Samia atatuvusha kuifikia nchi ya asali na maziwa tumpe ushirikiano.
Mtandao wako wa tigo ni mtamu sana mke wangu.,nauelewa.Mtandao upi? Acha fix wewe pimbi.
Lakini hili litawezekanaje bila kubadili sheria mbaya zilizopo? Mtu anakamatwa bila uchunguzi kukamilika, matokeo yake wanaishia kumbambikizia kesi.