TunawasubiriNa sasa wamejipanga
Mwaka huu mtaisoma
Unaweza sikiliza sauti ya Raisi wetu ukangoja daku tu, Maana hachoshi kumsikiliza [emoji28]
Naona makofi yanapungua kadri muda unavyoenda huenda mama ameanza kuwapoteza
Labda kuna teleprompterHivi ni mahali anasoma au anatoa kichwani???
Hapo mbele yake kuna sehemu anasomea mkuu mambo ya kidijitaliHivi ni mahali anasoma au anatoa kichwani???
Hivi ni mahali anasoma au anatoa kichwani???