Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Kutanua wigo wa walipa kodi ..
 
Wawekezaji na wafanya biashara wengi kupewa mazingira rafiki
 
Sawa.

Ngoja tusubiri.

Mama awazibe mdomo wale wanaompangia cha kusema. Naona kina Zitto kule Twitter wanatumia nguvu kubwa kutaka kuingiza ushawishi wa mama aseme nini leo.
Kuna wanao dhani ata vunja bunge, humu vihiyo niwengi sana mkuu
 
Back
Top Bottom