Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Mungu anaipenda sana Tanzania.

Mungu kumbe ukimuomba anajibu hata kwa wakati

Siamini kama leo tupo huru tena ndani ya nchi yetu....

Hakika Mungu ashukuliwe na liwe funzo kwa manyang'au wote waliotaka kutupeleka kusiko.

"I Love this country".
 
Ni jambo jema!

Rais Samia atatuvusha kuifikia nchi ya asali na maziwa tumpe ushirikiano.
images (21).jpeg



Huoni aibu MATAGA?

yaani mwaka huu utahama na upepo sana.....
 
Acha tumsikilize tuone anasemaje..

Naomba tukae kwa utulivu kidogo
 
Hivi kwa nini kwenye hotuba ya Rais Samia, Rais wa Zanzibar anetajwa kabla ya Makamu wa Rais wa JMT,. Kiitifaki yupi ni mkubwa hapa....!!?
 
Mama ni Rais wa Watanzania wote bila kujali itikadi yao. Hivyo ni lazima atusikilize Watanzania nini tunataka kati ya sasa na. 2025 badala ya kuleta umagufuli wa “mimi siambiliki”
Sawa.

Ngoja tusubiri.

Mama awazibe mdomo wale wanaompangia cha kusema. Naona kina Zitto kule Twitter wanatumia nguvu kubwa kutaka kuingiza ushawishi wa mama aseme nini leo.
 
Hakuna jipya hapo zaidi ya maneno matamu tu, utekelezaji wake hubakia kwenye makaratasi.

Nikikumbuka yale "maisha bora kwa kila mtanzania" sijui yaliishia wapi, na ile "Tanzania ya viwanda" nayo sijui iliyeyukia wapi.
Ha ha hiyo kauli mbiu ilibamba sana, CCM ni ile ile
 
Back
Top Bottom