Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,418
- 13,747
ELIMU. ELIMU! ELIMU! Tusomeshe mabinti zetu!Hotuba ni hopeless , haina mvuto….. pia Imekosa tija…. Aliemuandikia kamuingiza cha kiume …. Bad timing ….. kwa yanayoendelea …. Wengi wamepoteza heshima na matumaini nae ….. zamani ilikuwa ukisikia hotuba ya Rais … watu walikuwa wanawahi siti za mbele….
Sasa kwenye hiyo hotuba kuna
Kipi kigeni au cha maana.
Samia Apumzike… amechoka na
Yeye anajua hilo
Nchi haina Dira…..anaonya taasisi za umma na binafsi kutokuwa juu ya sheria, really ? Hivi Madam yupo hata serious kweli ….? Usikute sisi ndio tupo serious wakati yeye wala….. she is just playing joke cards
Watu wamepasuka vibaya. Yaaani wanamtokea makavu live25 Aprili 2025
JAMIIFORUMS NI JUKWAA KUBWA LA MEDIA, NAAMINI WATU WAMEITAFAKARI HOTUBA PIA TOFAUTI NA MEDIA ZINGINE TUNAWEZA KUIJADILI ILI KUJENGA TAIFA
Leo mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano, jioni tarehe 25 Aprili 2025 alitoa hotuba inayo semekana aliongea na taifa.
Je wewe kama mwananchi ulipata wasaa wa kuitazama au kuisikiliza ulikuwa na matarajio yapi hotuba hiyo ya mkuu wa nchi angegusia.
Uzi huu ni maalamu kwa ajili ya kutoa mrejesho, ili wananchi na viongozi wasitofautiane sana matarajio yao.
Na pia mrejesho wenu wananchi, unaweza kutoa dira kwa viongozi kuwa wananchi wana mambo gani wanadhani rais na wateule wake wangetekeleza na sababu zao ni zipi.
View attachment 3315718
Mheshimiwa Rais Samia Hassan alipokuwa anaongea na taifa.
N.B
Mrejesho wa raia kwa viongozi ni jambo jema. Hii ndiyo nafasi adimu ya kuzungumza na viongozi moja kwa moja baada ya hotuba, matamko n.k kutoka kwa viongozi walio ktk ofisi za umma.
25 Aprili 2025

Utaniwia radhi mkuu mleta mada. Pamoja na yote uliyohimiza wachangiaji tuyatafakari na kuleta mrejesho kuhusu hotuba hiyo ya kiongozi; mimi maoni yangu yameishia kwenye kuiangalia hiyo picha ya Rais hapo juu.Mheshimiwa Rais Samia Hassan alipokuwa anaongea na taifa
Jambo gani gumu kaliacha zaidi ya Muungano tunaosheherekea Leo, Uchaguzi Mkuu tunaofanya mwaka huu na amani na utulivu wa nchi kwa kipindi chote? Kasahau nini hapo?Anaacha mambo magumu yanayohitaji majibu anaongelea ishu za kutoa nishani. So what?
Nyie wenyewe mna faida gani, sikilizeni singeliKiukweli, mimi binafsi na watu wote tunaoishi pamoja hapa nilipo hatukujua kama Rais anatoa hotuba leo, hatujaisikiliza na hatuna mpango wowote wa kuisikiliza.
Kaona watoto wanahitaji lawa lawa na sio tibaAnaacha mambo magumu yanayohitaji majibu anaongelea ishu za kutoa nishani. So what?
Mhe Raisi tunaomba Reforms, kwani zitasaidia hata upande wa CCM.25 Aprili 2025
JAMIIFORUMS NI JUKWAA KUBWA LA MEDIA, NAAMINI WATU WAMEITAFAKARI HOTUBA PIA TOFAUTI NA MEDIA ZINGINE TUNAWEZA KUIJADILI ILI KUJENGA TAIFA
Leo mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano, jioni tarehe 25 Aprili 2025 alitoa hotuba inayo semekana aliongea na taifa.
Je wewe kama mwananchi ulipata wasaa wa kuitazama au kuisikiliza ulikuwa na matarajio yapi hotuba hiyo ya mkuu wa nchi angegusia.
Uzi huu ni maalamu kwa ajili ya kutoa mrejesho, ili wananchi na viongozi wasitofautiane sana matarajio yao.
Na pia mrejesho wenu wananchi, unaweza kutoa dira kwa viongozi kuwa wananchi wana mambo gani wanadhani rais na wateule wake wangetekeleza na sababu zao ni zipi.
View attachment 3315718
Mheshimiwa Rais Samia Hassan alipokuwa anaongea na taifa.
N.B
Mrejesho wa raia kwa viongozi ni jambo jema. Hii ndiyo nafasi adimu ya kuzungumza na viongozi moja kwa moja baada ya hotuba, matamko n.k kutoka kwa viongozi walio ktk ofisi za umma.
Nakubali, lkn si vizuri kuhutubia kwa kuviziana. Binfsi sikujuwa.Urais sio lelemama. Mungu ampe nguvu na hekima rais wetu.
Kama sio Lelemama si aachie ngazi tu!? Kwani amelazimishwa!? Na hatumuombei tena,maana siku zote tumekuwa tukimuombea ila ameamua kuanza kutumia polisi kupiga wanaomuombea na kuwauaUrais sio lelemama. Mungu ampe nguvu na hekima rais wetu.
Afrika kuwapata tena Watawala wenye Sifa hizo mfano wa Nelson Mandela, Mwl. J. K. Nyerere, Haile Selassie, Muammar Ghadafi, n.k.
Tumejua rangi zake halisi kwamba amefurahia kilichotokea.25 Aprili 2025
JAMIIFORUMS NI JUKWAA KUBWA LA MEDIA, NAAMINI WATU WAMEITAFAKARI HOTUBA PIA TOFAUTI NA MEDIA ZINGINE TUNAWEZA KUIJADILI ILI KUJENGA TAIFA
Leo mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano, jioni tarehe 25 Aprili 2025 alitoa hotuba inayo semekana aliongea na taifa.
Je wewe kama mwananchi ulipata wasaa wa kuitazama au kuisikiliza ulikuwa na matarajio yapi hotuba hiyo ya mkuu wa nchi angegusia.
Uzi huu ni maalamu kwa ajili ya kutoa mrejesho, ili wananchi na viongozi wasitofautiane sana matarajio yao.
Na pia mrejesho wenu wananchi, unaweza kutoa dira kwa viongozi kuwa wananchi wana mambo gani wanadhani rais na wateule wake wangetekeleza na sababu zao ni zipi.
View attachment 3315718
Mheshimiwa Rais Samia Hassan alipokuwa anaongea na taifa.
N.B
Mrejesho wa raia kwa viongozi ni jambo jema. Hii ndiyo nafasi adimu ya kuzungumza na viongozi moja kwa moja baada ya hotuba, matamko n.k kutoka kwa viongozi walio ktk ofisi za umma.
HOTUBA KAMA HAIJAGUSIA ADHA ZA MIUNDOMBINU KIPINDI HIKI CHA MVUA...NA HATUA ZA KIMAMLAKA ALIZOCHUKUA DHIDI YA WALIO CHINI YAKE...Nimewauliza walio huko, mmesiliza Hotuba ya Madam… wakasema Madam ndio nani? Nikawaambia Our President SSH….. wakasema hatujui kama kuna hiyo kitu …. Tupo tunaangalia game ya Mamelodi… ikiisha tunaangalia ya Pyramid 🤣
Alichokiongea hata yeye mwenyewe hakimpi amani ya moyo, siyo yule Samia mwenye, bashasha usoni kiukweli amechoka, kuna jambo linamtesa sana25 Aprili 2025