Hotuba ya Rais Samia ikipishana na matarajio ya raia, ina maana gani?

Watu wanasinzia kwenye hotupa ujue hapo hamna kitu,Bora lyende!
 
Hotuba Nzuri Sana,Hongera sana Mama,
Mwenyezi MUNGU akulinde na Akupe Nguvu.
 
alisingiziwa nini mkuu? --- mimi namaanisha baada ya kuingia madarakani nahisi maandamano ya kwanza yale uso ulikua umedhoofika tofauti na wakati wa kampeni 🤣
Ile habari ya ICc
 
Reactions: Lax
Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan ya 25 Aprili 2025 ilijaribu kuwasilisha ujumbe wa umoja na amani, lakini matukio ya kupigwa na kukamatwa kwa wanachama wa CHADEMA siku moja kabla, tarehe 24 Aprili 2025, wakati wa kesi ya Tundu Lissu, yanaonyesha tofauti kubwa kati ya kauli za Rais na vitendo vya mamlaka za serikali. Vurugu hizi zimeimarisha hisia za wananchi kwamba serikali inaendelea kuwakandamiza upinzani, na hotuba ya Rais haikuweza kushughulikia moja kwa moja mvutano huu wa kisiasa. Matukio haya yanaonyesha changamoto za kudumisha demokrasia na uhuru wa kisiasa nchini Tanzania, hasa kuelekea uchaguzi wa 2025.
 
Huo uchafu wote wa polisi, yeye ndiyo chanzo. Hotuba yake ilikuwa ni hadaa tupu na kejeli kubwa kwa wananchi wanaoshuhudia uharamia wa ajabu unaofanywa na polisi..
 
Hotuba ni zile zile, ignore baadhi ya mambo usiyaongelee, pretend kama hamna jambo. Endelea na mengine
 
 

Attachments

  • 8d11e3c89ffa61489cd714b330291758_1744879011610.mp4
    7.6 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…