Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye Baraza la Umoja wa Mataifa (UN) - Septemba 23, 2021

Asitutie aibu haibu ya kwenda kulalamika na kujilizaliza kama viongozi wa Afrika waliopita, eti hadi leo watu bado wanasikitikia mambo ya ukoloni
 
Mimi hotuba yake sijaielewa hata kidogo anataja maneno tu tu
Na wasiwasi sana

Huku alituambia uchumi wetu unakua kwa asilimia 4 . Plus huko marekani anawambia uchumi wetu unakua kwa asilimia 5.4 mimi sijaamini bado

Wanaopenda hotuba zinazohusisha report za namba tujuane🖐🖐🖐🖐
 
eti Biden anaongea, Xi anaongea na huyu mama nae anaongea hahahahahahaha wakati juzi alikuwa anazunguka na mpiga picha kutafuta hela za bajeti ya serikali hahahaha.

aisee
Kila mtu na nchi yake ulitaka gaidi aongee

USSR
 
Mimi hotuba yake sijaielewa hata kidogo anataja maneno tu tu
Na wasiwasi sana

Huku alituambia uchumi wetu unakua kwa asilimia 4 . Plus huko marekani anawambia uchumi wetu unakua kwa asilimia 5.4 mimi sijaamini bado
Neno Pandemic limetajwa more than quatro times. Was all about Covid effects to the economy.
 
Huyu George weah sikujua kama kichwani yuko vizuri kiasi hiki anatema madini. Kweli ana PHD ya florida sijui wapi huko missisipi.
 
Mimi hotuba yake sijaielewa hata kidogo anataja maneno tu tu
Na wasiwasi sana

Huku alituambia uchumi wetu unakua kwa asilimia 4 . Plus huko marekani anawambia uchumi wetu unakua kwa asilimia 5.4 mimi sijaamini bado
Fanya tafiti uchumí unakuaje ndo uamini
 
Back
Top Bottom