Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,513
Yaani ma CCM bwana, ameanza kwa kupongeza kama kawaida. Alafu kaenda kwenye mada ya covid, eti anaongea on behalf of the world na akitoka hapo aende akawaambie maofisa wa wizara ya afya ya USA kwamba hatuna chanjo.