sikwedawaz
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 315
- 273
Teleprompter ....Teknolojia imekupita mbali ndugu, anasoma hapo sema huwezi kuona. Wenzangu watakusaidia hicho kifaa kinaitwaje, mimi nimekisahau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teleprompter ....Teknolojia imekupita mbali ndugu, anasoma hapo sema huwezi kuona. Wenzangu watakusaidia hicho kifaa kinaitwaje, mimi nimekisahau.
Suala la tozo liko mahakamani ?Hebu pita kule mbali wewe, suala lipo mahakamani tulia.
#Mama 2025
Mbona haueleweki sasa athari za mbadiliko wa gear za hewani na kuzungusha mikono.Suala la tozo liko mahakamani ?
Unataka watoto wa kike waige kutoza tozo kubwa kubwa watanzania ?Mbona haueleweki sasa athari za mbadiliko wa gear za hewani na kuzungusha mikono.
#Mama 2025
Ushazoea negativity sasa positivity utaziona saa ngapi? Chademaaa yenu bado sana inahitaji karne 10 sawa na 1 millennium kujifunza kuwa chama cha siasa sio uharakati.Unataka watoto wa kike waige kutoza tozo kubwa kubwa watanzania ?
Umeshindwa kujibu hoja yangu.Ushazoea negativity sasa positivity utaziona saa ngapi? Chademaaa yenu bado sana inahitaji karne 10 sawa na 1 millennium kujifunza kuwa chama cha siasa sio uharakati.
#Mama 2025
Wapi nimezungumzia tozo humu?Umeshindwa kujibu hoja yangu.
Kwani umeulizwa na CHADEMA?