Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Mwenye picha inayoonyesha wasikilizaji waliokwepo ukumbini wakati wa hotuba yake arushe tuone!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajayaona hata hayo mabangoHakuadaliwa vizuri alikuwa hajiamini nadhani mabango nayo yamechangia kumtoa kwenye reli. Hongera wana diaspora.
Ndiyo lilikuwa swali languWapi nimezungumzia tozo humu?
#Mama 2025
Umeishia darasa la ngapi? Kumbe hata kiingereza hujui?😂😂we kiazi, TUNAWEZA TENGENEZA CHANJO SISI? Kaenda kuongea hayo mambo ya nini? Anaenda kuongelea mambo ya msiba wa magufuri, hivi anafikiri hao watu wao hawafiwi, msiba mmoja ndio tukae tunauzungumzia kila siku,
Yaani UN kabisa, mama anaenda kusema eti sisi tumefiwa, si angeenda na mama magufuri sasa awaonyeshe kama anadhani hawaamini.
Park ipi wameongeza fees?Kukuza utalii kwa kuongeza bei za park entrance fees? Wakuu sikilizeni hili topolo halijui hata nini linasema
Nauliza huyo mama kuongea ongea anasema turuhusiwe kutengeneza chanjo ya covid, TUNAWEZA SISI KUTENGENEZA CHANJO YA COVID, AU ALIKUWA ANAONGEAONGEA.Umeishia darasa la ngapi? Kumbe hata kiingereza hujui?😂😂
Nilijua hautafika mbali kwa sababu hauna majibu ya swali languNa mimi ndio swqli langu hilo.
#Mama 2025
Wana adjust uchumi😃😃??aisee, hadi natamani nijifiche. eti anaanza kuelezea oooh uchumi wetu tumeadjust growth forecast from 5.4 to 4.6% PALE UN.
Yaani hajui wapi na wakati gani na kwa watu gani aseme nini.
Utaonaje mantiki wakati hujui kiingereza na umejaa chuki?Sijapata mantiki ya hotuba yenyewe, nafikiri alikuwa anajaribu kujipendekeza kwa mabeberu maana ni kulia shida mwanzo mwisho, mara covid imefanya hivi, covid imefanya vile, uchumi wa nchi maskini umekuwa hivi, sijui umekuwa vile. Hizi hotuba za viongozi wa kiafrika zinakuwa zinawasilisha ujumbe wa kulia njaa njaa kwa mabeberu, hakuna la zaidi......
Unahoji kiingereza changu, sikiliza chake Multilateralism anasema Multilateralilism.Umeishia darasa la ngapi? Kumbe hata kiingereza hujui?😂😂
Mtu anaangalia muda wote eneo moja hata shingo hazungushi, mahaba mengine taabu sana.Teknolojia imekupita mbali ndugu, anasoma hapo sema huwezi kuona. Wenzangu watakusaidia hicho kifaa kinaitwaje, mimi nimekisahau.
Endelea kuteseka tu na chuki zako! Zaidi tafuta hata kozi fupifupi za kiingerezaNauliza huyo mama kuongea ongea anasema turuhusiwe kutengeneza chanjo ya covid, TUNAWEZA SISI KUTENGENEZA CHANJO YA COVID, AU ALIKUWA ANAONGEAONGEA.
Mimi mwenyewe kwa namna unavyobadili gear angani nilijua utatua baharini kama 2015.Nilijua hautafika mbali kwa sababu hauna majibu ya swali langu
Hatujamsikia akikoseaUnahoji kiingereza changu, sikiliza chake Multilateralism anasema Multilateralilism.
ukute na wewe una kitoto kinawatambia wenzake "ntakusema kwa baba" halafu baba mwenyewe taburarasa tu.Mawazo Mbadala na ameishaongea inasaidia nini sasa.
hawa wazungu walisema watafuta madeni sababu ya covid, na hawajafuta, kwa nini asingezungumzia hayo? yeye anaenda kusema eti uchumi wetu unakuwa kwa asilimia 4.6% wakati US haifiki hata 3% unajua katuchomesha leo huyu mama?
SISI TUNAWEZA TENGENEZA CHANJO? SISI?Endelea kuteseka tu na chuki zako! Zaidi tafuta hata kozi fupifupi za kiingereza