Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye Baraza la Umoja wa Mataifa (UN) - Septemba 23, 2021

Niongee wapi sasa! Kajifunze kiingereza! Ndo mana mlikuwa mnakimbia mikutano ya kimataifa eti kubana matumizi wakati kumbe hamjui kiingereza! Washamba nyie
Kwa hiyo hapo mama kaongea Kiingereza au kasoma Maandishi ya Kiingereza? Hivi kuna Siku mama alishawahi kuongea Kiingereza? Nakumbuka kuna Siku kumuita Raisi Biden "Honorable President Biden" badala ya "His Excelence, President Biden". Raisi wa Nchi hapewi Salutation ya " Honorable".
 
Mnaompigia chapuo Mama Royal Tour mmepoa sana. Sio kama enzi zetu sisi "Sukuma Gang" ( Ingawaje mi Mhaya), MATAGA na Buku Saba!
 
Kwa hiyo hapo mama kaongea Kiingereza au kasoma Maandishi ya Kiingereza? Hivi kuna Siku mama alishawahi kuongea Kiingereza? Nakumbuka kuna Siku kumuita Raisi Biden "Honorable President Biden" badala ya "His Excelence, President Biden". Raisi wa Nchi hapewi Salutation ya " Honorable".
Weka ushahidi akimuita Honorable
 
Unaelewa kiingereza kwanza? Tuanzie hapo?😂
Skijui ila siwezi kuhutubia kama yeye. Amekosa mstari hata Mmoja wa kwake wa kuchomokea? Hata Utangulizi nao kasoma? Sasa Inaonekana hata Mange Kimambi au Steve Nyerere angeweza kwenda kusoma hiyo hotuba na bado ujumbe ukafika.
 
Mimi

Mbona Magufuli hakuweza?? Kiingereza sio kwenda chooni wewe
 
Mimi

Skijui ila siwezi kuhutubia kama yeye. Amekosa mstari hata Mmoja wa kwake wa kuchomokea? Hata Utangulizi nao kasoma? Sasa Inaonekana hata Mange Kimambi au Steve Nyerere angeweza kwenda kusoma hiyo hotuba na bado ujumbe ukafika.
Sasa kama hukijui kaa kimya! Tunaokijua tunasema Mama ametema yai safi
 
Naona viti vingi viko tupu! Au Ni COVID nini?
Unaweza kukuta walisema anayependa kuhutubia live aende ukumbini sisi wengine tutakuwa room hotel kufuatilia kupitia video call kuweka social distancing!.

Ila amejiwekea record yake kupitia mama Tanzania.
 
Mpambeni na kitambaa Cha kitani Ila huyo mama bogus ..unatoka kwa minority alafu unajifanya mjanja..Kuna jamaa yangu Yuko NY alivyoona Ile picha Times square akanitext "huyu sio mama yake Hamza????😄😂😄😂😄😂
 
Wabongo hamna dogo! Kumbukeni huyu ni Rais mwana mama, halafu hakujiandaa kua Rais, yeye alikua kiutendaji zaidi.

Kwa mtazamo wangu, kajitahidi kuwapa mabeberu wanachotaka kusikia Ili kufunika kombe mwanaharamu apite.
 
Kasau kuongelea ugaidi ulivyopamba moto ambao ni janga la kidunia
 
Wabongo hamna dogo! Kumbukeni huyu ni Rais mwana mama, halafu hakujiandaa kua Rais, yeye alikua kiutendaji zaidi.

Kwa mtazamo wangu, kajitahidi kuwapa mabeberu wanachotaka kusikia Ili kufunika kombe mwanaharamu apite.
Ni maandalizi gani alihitaji? Halafu mbona unapingana naye maana yeye kasema ameshapata uzoefu baada ya kujifunza kwa miezi Sita.
 
Dakika 15 za Rais SSH UN ambazo zimelikosesha taifa bajeti ya kukaa siku zaidi ya 3 kama sikosei. Hizi pesa ni mzigo kwa walipa kodi kwenye maswala ambayo Tanzania mchango wake hauthaminiki. Hao washauri wake wanamshauri vipi? Nchi kubwa wanakwenda kwa mikakati yao na kupanga mambo ya CO2 na jinsi ya kuikabili China etc. Tuliwasingizia watemi kukubali sukari na peremende, Je, Rais SSH tunamsingizia?
 
Back
Top Bottom