Dp800
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,793
- 3,709
Yaani wapuuzi mnamawazo ya kijima kweli kutema yai inauhusiano gani na changamoto za taifa letu.
Rais anacheza ngoma ambaye haimuhusu mambo ya mazingira na hoja za covid hizo ziko juu sana ya ufahamu wake inaonekana haelewi ugomvi wa kibiashara kati ya mashariki na magharibi badala ya kusisitiza namna taifa litakavyo nufaika na biashara ya kimataifa walau vijana wake waweze kutanzuka kwenye ukosefu mkubwa wa ajira
Hakuna hoja zenye mlengo wa kutatua changamoto za Africa, mwanzo mwisho anakomaa na COVID-19 as if covid ndio kipaumbele kwake na kulialia misaada kana kwamba nchi hii niya wakoma (ujinga mtupu)
Kama hafahamu matatizo ya watanzania wenye nafasi saidieni kumkumbusha huyu Bibi Giza limekua Totoro sana