napenda movie
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 543
- 481
Tutakuka kukumbushana huu oktoba tuone kati ya Lumumba na bavicha nani anahitaki msaada wa kisaikolojia.Lumumba mnahitaji msaada wa kisaikolojia.
Mungu ni mkubwa na daima kama atakuwa ameamua kutuletea kiongozi bora kama mh Lissu basi hakuna yeyote awaye anaye weza kuzima ndoto ya mh Lissu
Hii inatuongezea nini Sisi!
Lisu ataaibika vibaya
Tundu lisu amemwiga Mandela kama alivyowasamehe makaburuUsipate presha hatalipiza kisasi kwa mliyomtendea, nia ni kuijenga Tanzania yenye matumaini.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Rais wa nini mkuu?
Huo ndiyo ukomavu wa kisiasaTundu Lissu amemwiga Mandela kama alivyowasamehe makaburu
Naona hakuna kitu millardayo.
Mkuu naona povu limekutoka, mulikuwa mnadai tume huru vipi imeshapatikana,nakama bado mbona mnahangaika na huyu jamaa mlopokaji wakati mkijua ccm lazima ichukue ushindi?Wewe ndiyo lofa hujielewi umekumbatia kuwabambikia watu kesi kuwapiga risasi kuwapora ushindi wapinzani kwenye chaguzi mbalimbali, Urais uliwapa wewe CCM? au ni uchakachuaji na Tumeccm iliwasimika CCM kienyeji kwa njia za kishetani.
Mkuu, ukiondoa hizi sheria kandamizi za Magufuli, maendeleo yatakuja yenyewe tu kama MAFURIKO.Kumbe hakuna haja ya maendeleo
Mbona ulisema hivyo hivyo kwa mamvi? Eti rais wa mioyoni.Huyu ndiye Rais ambaye nchi hii imemtafuta kwa miaka yote .
Leo mpaka utajinyea kwenye PC kujaza Serva kulazimisha kuuza kisichouzika, kunywa hata maji basi, JF ipo tu haiendi popote utaendelea afterwards, ...