Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

πŸƒβ€β™‚οΈ πŸƒβ€β™‚οΈ πŸƒβ€β™‚οΈ πŸƒβ€β™‚οΈ yeye aseme tu
 
Lumumba mnahitaji msaada wa kisaikolojia.
Tutakuka kukumbushana huu oktoba tuone kati ya Lumumba na bavicha nani anahitaki msaada wa kisaikolojia.

Yani Lisu hqtaamini kitakachotokea
 
Mungu ni mkubwa na daima kama atakuwa ameamua kutuletea kiongozi bora kama mh Lissu basi hakuna yeyote awaye anaye weza kuzima ndoto ya mh Lissu


Leo mpaka utajinyea kwenye PC kujaza Serva kulazimisha kuuza kisichouzika, kunywa hata maji basi, JF ipo tu haiendi popote utaendelea afterwards, ...
 
Ni yeye 2020-2025 lissu for now hata tukishindwa lazima tuibe kura Mabrberu wako nyuma yetu
 
Wewe ndiyo lofa hujielewi umekumbatia kuwabambikia watu kesi kuwapiga risasi kuwapora ushindi wapinzani kwenye chaguzi mbalimbali, Urais uliwapa wewe CCM? au ni uchakachuaji na Tumeccm iliwasimika CCM kienyeji kwa njia za kishetani.
Mkuu naona povu limekutoka, mulikuwa mnadai tume huru vipi imeshapatikana,nakama bado mbona mnahangaika na huyu jamaa mlopokaji wakati mkijua ccm lazima ichukue ushindi?

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Ivi kweli uchukue dola, uwe lelemama tu,
-uchenji katiba ili uwe powerless
-uchenji katiba ili uwe na tume huru yenye uwezo wa kukutoa madarakani etc
-Watu waandamane mwanzo mwisho kutaka utoke madarakani.
-Polisi na jeshi liwe teethless etc

Haya ni ya kweli?!!
Ila kiukweli najuta kumchagua Lowasa.
 
Tafadhali ebu tuwachie nafasi sisi watanzania tuongelee mustakabali wa taifa letu, wewe zungumzia mambo ya kwenu burundi
Leo mpaka utajinyea kwenye PC kujaza Serva kulazimisha kuuza kisichouzika, kunywa hata maji basi, JF ipo tu haiendi popote utaendelea afterwards, ...
 
Back
Top Bottom