Mkuu ukiacha utani wapi wakristo wamehaidiwa hicho kitu? Je wale wa mabikra 72 na mito ya pombe ni uongo? Kama ni uongo sema ili tusijekuwa tunasema kitu cha kukashifu imani za watu kumbe siyo kweli. Sema kama siyo kweliHeri hao waliohaidiwa mabikira,je wale waliohaidiwa kupakatwa na kidume Ibrahim,,kama Lazaro.
Pia kuna habari kama wamekubali masharti ya Hezbullah, kwanza walijidai hututaki kusimamisha vita.
Wanaopost hizo ni mamoderatorJF picha za maiti za Israel wamepiga pin ukipost tu hazifunguki. Zingine ruksa kupostπ
Kweli kabisa si tunasikia habari za huku na huku ziko ni uwongo na ziko za kweli. Hata nyie sio kila habari zenu ni π―Si mlisema Herzi Halevi ameuwawaππ€£
Adiosamigo
Sasa mkuu watu waliodanganywa na mudi unadhani wanaweza kuwa na akili za kudadavua mambo?
Sasa mkuu watu waliodanganywa na mudi unadhani wanaweza kuwa na akili za kudadavua mambo?
View attachment 3136980View attachment 3136981View attachment 3136982View attachment 3136983View attachment 3136984View attachment 3136985View attachment 3136986View attachment 3136987View attachment 3136988View attachment 3136989View attachment 3136990View attachment 3136991View attachment 3136992View attachment 3136993View attachment 3136994View attachment 3136995View attachment 3136996
Ndio Bikira 72 ni wachache sana, tuliona hapa Dunian mfalme Selemani alikuwa na wanawake 700, na aliishi nao , sasa iweje 72 iwe uongo? ebu acha wivu wewe muimba kwayaBora wao wanaakili kiasi, kuliko wale waliyodanganywa na mudi kuwa watakuta mabikra 72 na mito ya pombe. Je wew unaamini story za mudi?
Hii Game haihitaji hasiraUnauliza swali tupo shule toka lini mimi nakaulizwa maswali na mashoga nikajibu.
Wahuni wanapiga kazi balaa kwa siku op 40+
Komeo bana, ni sawa na kwenye ligi kuu unashinda mechi zako mzunguko wa kwanza na kusema nipewee kombe kumbe ujui kuna round ya pili ambapo mshindi atakabidhiwa kombe, kwahio let wait for 10years more tuone hio nchi haitakalika wamewaua viongozi lakini vita bado mbichi kama vile hakuna kilichotokea
Inaonyesha wazi kuwa huijui Tel Aviv ilivyo na hujui kambi ya Jeshi ambavyo inakuwa kama hujui kambi za Jeshi zinavyojengwa nenda hapo lugalo waombe tu wakuingize tu kwa saa moja tu ndipo unaweza kupata picha halisi!! Hii picha ni ya Shambulizi la Israel huko Yemen kwenye bandari ya Hodeidar!! Wajinga tu na wapumbavu ndiyo wataamini Pumba hizi. Kwa taarifa yako tu Israel hajaribiwi ukipiga unapigwa sana, hapo ndipo sera za Jino kwa Jino zinakaa!!. Endeleeni kujifariji na video za michongo lakini magaidi wa Hamas na Hezbollah safari hii mpaka watanyooka!!