Hapo Israel kaona maji shingoni Askari wake wanakufa sana Lebanon kitakachofuatia ni kusema vita vimefanikiwa kwa hivyo tusimamishe mapigano.
Kama kuna kitu ambacho Israel hawezi kuvumilia ni vifo vingi vya watu wao hapo lazima waufyate tu. Kila muisrael anapenda kuishi miaka 1000