WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Mbona wapo wengi mfano.Pascal Mayala...Nimeshangaa alivyomtaja Amilcar Cabral.
..Nikajiuliza ni nani katika Ccm anamfahamu nguli huyo wa siasa za ukombozi bara la Afrika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wapo wengi mfano.Pascal Mayala...Nimeshangaa alivyomtaja Amilcar Cabral.
..Nikajiuliza ni nani katika Ccm anamfahamu nguli huyo wa siasa za ukombozi bara la Afrika?
Hao ndiyo masomi wetu CCMLivingston Lusunde na msukuma watakua wanamjua
Intellectual haropoki! Tajiri haropoki! Period!Lissu ana intellectualism ya hali ya juu sana, siasa kama hizi tulizimiss sana. Nyerere angeishi leo angevutiwa sana na Lissu, wanafanana mambo mengi sana.
Lissu anafaa hata kua Rais wa Nchi ni Mtu muungwana sanaShida kubwa ya Afrika ni kutopenda watu wenye uwezo mkubwa kuwa viongozi,bali viongozi wanapenda watu wa ndio bwana mkubwa hata kama kaongea pumba.
Lissu ni hadhina ya taifa hili ni vile taifa limekumbatia ujinga na upumbavu,hivyo kushindwa kutumia rasilimali watu kama Lissu kwa manufaa ya umma.
Uko sawa kwa zaidi ya 100%Shida kubwa ya Afrika ni kutopenda watu wenye uwezo mkubwa kuwa viongozi,bali viongozi wanapenda watu wa ndio bwana mkubwa hata kama kaongea pumba.
Lissu ni hadhina ya taifa hili ni vile taifa limekumbatia ujinga na upumbavu,hivyo kushindwa kutumia rasilimali watu kama Lissu kwa manufaa ya umma.