Hotuba za Tundu Lissu zinadhihirisha usomi wake. Kamuibua Amilcar Cabral. Wenyeviti wangapi wa vyama vya siasa wanamjua?

Shida kubwa ya Afrika ni kutopenda watu wenye uwezo mkubwa kuwa viongozi,bali viongozi wanapenda watu wa ndio bwana mkubwa hata kama kaongea pumba.

Lissu ni hadhina ya taifa hili ni vile taifa limekumbatia ujinga na upumbavu,hivyo kushindwa kutumia rasilimali watu kama Lissu kwa manufaa ya umma.
Lissu anafaa hata kua Rais wa Nchi ni Mtu muungwana sana
 
Kama siyo mbabaishaji (chawa bila maarifa), unayependa haki, ukweli na uwazi, huwezi kumchukia mtu kama TAL. Ni mtu anayejitoa sana kuielimisha, kuitetea na kuipigania haki ya jamii nzima ya watanzania. Ni mtu mkweli, yupo huru sana kifikra na mitazamo ya kidunia
 
Shida kubwa ya Afrika ni kutopenda watu wenye uwezo mkubwa kuwa viongozi,bali viongozi wanapenda watu wa ndio bwana mkubwa hata kama kaongea pumba.

Lissu ni hadhina ya taifa hili ni vile taifa limekumbatia ujinga na upumbavu,hivyo kushindwa kutumia rasilimali watu kama Lissu kwa manufaa ya umma.
Uko sawa kwa zaidi ya 100%
 
Back
Top Bottom