HUAWEI yaipoteza NVIDIA kwenye soko la China, pigo lingine kwa Trump.

hakuna kampuni inaweza jitegemea sheikh xi jinping, hio itakua nchi sio kiwanda tena
Tatizo huwa mna double standard that's why nikataka kuwaonyesha kuwa hata hao mnaosema vinara wa tech NVIDIA nao bado wanahitaji wengine. Hope hapo tumekubaliana

Ingekuwa NVIDIA ni kampuni ya China na inaitegemea TSMC kwa ajili ya fabrication mngesema China haina tech ya kufanya fabrication sio?

Kwa hiyo tumekubaliana kuwa hakuna American based factory inayoweza kufanya fabrication ya chips

Wote NVIDIA, AMD na Qualcomm kwenye fab wanaitegemea TSMC ya Taiwan
​
 
Mkuu hili suala mjadala ufungwe inatosha sasa,unaongea kuhusu kitu hukijui...ndoto za Huawei zitatimia Ila sio Sasa labda Kama wewe sio mdau wa Technology umeamua tu kuchosha watu..
 
Mkuu hili suala mjadala ufungwe inatosha sasa,unaongea kuhusu kitu hukijui...ndoto za Huawei zitatimia Ila sio Sasa labda Kama wewe sio mdau wa Technology umeamua tu kuchosha watu..
Ndoto za Huawei? Huawei hawaishi kwenye ndoto. Wanafanya possibility impossible

Huawei wamepambana kuiondoa China kwenye reliance on foreign AI chips hasa za Nvidia wamekuja na Ascend 910C

Huawei wameweza kutengeneza EUV machine ambazo hata Marekani hawana wanaitegemea ASML ya Uholanzi

Huawei wameweza kudevelop OS yao Harmony bila kutegemea Android OS

Na simu za Huawei zinatumia chip zao Kirin 9000s na Kirin 9010 badala ya Qualcomm

Hizo nazo ziweke kwenye list ya ndoto za Huawei

As long as China hategemei tech kutoka Marekani ndivyo makampuni ya Marekani pia yanapoteza China's market share.

Wao walidhani hizo bans zinasaidia ila Huawei anaendelea kuwaprove wrong
​
 
Uliyoongea HAKUNA aliekupinga, points zote juu zinasapoti unachosema,Ila kitu kimoja ambacho unadanganya na unajua unadanganya kua HUAWEI wapo mbele ya NVDIA kwenye Chip hili suala halikua hata la kubishania...ukisema wanakuja hakuna atakae bisha,but currently??bro stop BS
 
Ndio nakuambia kwamba hakuna kampuni inajitegemea kwa 100% lazima kuna vitu ina outsource. Iwe Huawei, Samsung, iPhone...wote wana components wanategemea toka kwa makampuni mengine
 
Ni wapi imesemwa Huawei wako mbele kwenye chip zaidi ya Nvidia?

Hii ni competition kati ya hizo kampuni 2 yoyote anaweza kuachwa nyuma ya mwenzake, innovations na R&D ndiyo vitaamua

China wanachotaka ni self reliance kwenye tech na Huawei na makampuni memgine ya China ya tech yanafanya kazi bega kwa bega kwenye hilo
​
 
Huawei wameweza kutengeneza EUV
​
Hili jambo zuri kumaliza monopoly, unaweza kutupa publication ya euv ya huawei inayofafanua euv structure test, m0 na m1 na hata tear down chini ya 40nm ya hiyo euv machine iliyotengenezwa na huawei
 
So chip ya kisasa ya HUAWEI na chip ya kisasa ya NVDIA ipi superior
 
Ndio nakuambia kwamba hakuna kampuni inajitegemea kwa 100% lazima kuna vitu ina outsource. Iwe Huawei, Samsung, iPhone...wote wana components wanategemea toka kwa makampuni mengine
Hapa sasa tuko pamoja maana wengi wamekuwa wakisema makampuni ya China yanategemea tech ya Mmarekani au West.

Kumbe nao hawajiwezi pia kwa 100% ndio maana hata defense contractors wa Marekani sehemu kubwa ya components zao wanategemea Chinese suppliers

Na hata wanaotengeneza high tech goods kama chips n.k huko Marekani na Ulaya wanategemea processed rare earth materials kutoka China

Hivi ndivyo dunia ya tech inavyoenda
​
 
Hili jambo zuri kumaliza monopoly, unaweza kutupa publication ya euv ya huawei inayofafanua euv structure test, m0 na m1 na hata tear down chini ya 40nm ya hiyo euv machine iliyotengenezwa na huawei
Kama una access na internet kwa nini usiingie ujionee mwenyewe​
 
So chip ya kisasa ya HUAWEI na chip ya kisasa ya NVDIA ipi superior
Chip ya kisasa ya NVIDIA ni H200 na ya China ni Ascend 920C ambayo kwa sasa Huawei bado hawajafanya official release huenda mwaka huu au mwakani.

Kwa sasa ni Ascend 910C ambayo imekuja kureplace NVIDIA H20 na H100
​
 
Wanakuwa hivyo kwa sababu wanaona upo obsessed na China, of course kila mtu ana mahaba yake ndio maana unaona wengine wapo Pro USA na wewe Pro China.

Lakini as far as tech is concerned, hakuna anayejitosheleza kwa 100%, ila what matters ni tech inayotolewa na kampuni husika. Wengi wanaamini bado kwenye ulimwengu wa tech hakuna aliyempata USA, ndio kuna wanakuja kwa kasi ila tech ya USA bado ipo juu.
 
Wanakuwa hivyo kwa sababu wanaona upo obsessed na China, of course kila mtu ana mahaba yake ndio maana unaona wengine wapo Pro USA na wewe Pro China.
Mimi napenda kuona mataifa mengine yakijipata kiteknolojia ili kusiwe na monopoly ya taifa moja.

Hii inasaidia sana kwenye soko la dunia kunapokuwa na manufacturers wengi wa high tech commodities na equipments hata bei ya bidhaa hizo inapungua

Na manufacturers wengine ambao hawana tech watakuwa wananunua hizo components kwa bei nzuri na itapunguza gharama kwa end users

Si umeona mfano DeepSeek wamefanya mapinduzi wenye AI sasa hivi dunia inaweza kutumia AI kwa gharama ndogo tofauti na ilivyokuwa wakati wa ufalme wa OpenAI

Angalia leo tunaweza kununua bidhaa za high tech kwa gharama ndogo kutoka China

Sasa Pro-America hawataki hilo. Wewe unaonaje competition ina faida au haina faida au na wewe unapenda tu West hasa Marekani ndio wadominate?
​
 
Ushindani una faida,.taifa moja likiwa na technology muhimu peke yake atatumia hiyo technology Kama silaha kusumbua wenzie,.

Swali: kwanini Technology nyingi kwa kiasi kikubwa zinagundulika West na marekani then wengine ndio wanafata??tatizo Nini?
 
πΆβ„Žπ‘–π‘›π‘Ž 𝑖𝑛 π‘˜π‘€π‘›π‘¦ π‘‘π‘’π‘β„Žπ‘›π‘œπ‘™π‘œπ‘”π‘¦ π‘€π‘Žπ‘›π‘Žπ‘˜π‘–π‘šπ‘π‘–π‘Ž π‘ π‘Žπ‘›π‘Ž...π‘ˆπ‘† π‘šπ‘Žπ‘£π‘–π‘‘π‘Ž π‘›π‘Žπ‘¦π‘œ π‘¦π‘Žπ‘›π‘Žπ‘€π‘Žπ‘‘π‘œπ‘Ž π‘šπ‘β„Žπ‘’π‘§π‘œπ‘›π‘–
 
Monopoly kwa jambo lolote sio kitu kizuri, nchi inakuwa na mamlaka ya kuziamrisha nchi nyingine wanavyotaka, competition ni kitu kizuri. Ila tukubaliane tu US ni mama wa tech, sababu kubwa yeye anaruhusu kila mtu mwenye uwezo kuingia(the land of opportunities), wahindi, wachina, warusi, waingereza, waisrael nk wote hao ni mwendo wa kupeleka vipaji πŸ‡ΊπŸ‡Έ.

Disadvantage ninayoiona kwa China kuwa superpower, wapo selfish.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…