HUAWEI yaipoteza NVIDIA kwenye soko la China, pigo lingine kwa Trump.

Pumba
 
Haibadilishi ukweli kuwa uliandika pumba za *******, kùma wewe
Haibadili ukweli kuwa hakuna kitu kizuri kutoka kwa mchina.
Kama unapenda clone product na zisizo na ubora na za bei za kimasikini utapata za mchina Pole mpenda bidhaa za mchina
Mchina anasubiri Marekani atoe na yeye atoe. Kabla ya AI, mchina alikuwa hana.
Android OS inatumia application zenye extension .apk hiyo Harmony inatumia app zenye extension gani?
K kama ya mm yak9
 
Ww jamaa ni ujuaji tu kama sio china hata maisha yako hapo dunian yangekuwa magum sana tumshukuru mchina
 
Copy ni nini?
 
Mkuu kweli lakini the most powerful chip ni NVIDIA Blackwell GB200 Superchip
 
Unatoa tuvihabari vyako kutoka kwenye vyanzo visivyo realiable hili ndio tatizo lako.

Huwezi kupata chanzo kutoka nje ya China esp West ambacho kitaonyesha progress ambazo Chinese semiconductor companies zimefanya
​
Yaani upate habari za uhakika kuhusu China utoe kwa Wachina wenyewe hao mabingwa wa propaganda na uongo?
 
Lakini kwenye simu HUAWEI wamepigwa pini. Wamepotea soko la dunia.

Trump anatetea nchi yake. Kupamba lazima.

Leo Waziri Jafo alipitisha kipira ( msako wa polisi ) Kariakoo kukamata Wachina haramu.

Wachina wapo nchini kinyume cha sheria. They are corrupt, they are criminals. They are poisoning the business climate. Crime imeshuka China. Lakini hapa imepanda. Criminals wote wa China wamehamia hapa. Tunakwenda kuwatimua kama wote.
 
Ww jamaa ni ujuaji tu kama sio china hata maisha yako hapo dunian yangekuwa magum sana tumshukuru mchina
Kwahiyo mchina ndiyo anagawa hela kwa watu mpaka maisha yawe rahisi?
Nilitegemea utajibu kwa fact kumbe ni moja ya watu wajinga hivi.
Mchina hajarahisha maisha ila ameharibu maisha ya watu kwa bidhaa zao zisizo na ubora.
Sasa hivi ukitaka kununua Hard disk, Memory Card, TV, na bidhaa zingine OG unatakiwa uwe makini sana. Kwa mfano unataka kununua simu ya Nokia Original au iPhone X lakini unakutana na copy ya mchina kibaya zaidi unauziwa kwa bei sawa na OG. Ma TV ya kichina yapo mengi lakini hayana hata ubora
Hizi flash drive na Memory Card mchina katengeneza feki zipo nyingi sana kibaya zaidi unauziwa kwa bei ya original
 
Copy ni nini?
Hili swali lako tu unaonesha ni mtu wa kusoma umbeya mtandaoni. Hapa nilitegemea utashusha nondo kuhusu Harmony
Sifa za Android OS
  • Ukiiwasha itakuandikia powered by Android
  • Inatumia application zenye extension ya .apk ambapo huwezi kuinstall kwenye Operating system ya IOS, Windows phone, Symbian au Blackberry OS
  • Ina play store inayoitwa Google na inamilikiwa na Google. Ili uweze kutumia lazima utumie email ya gmail
  • Inapata Update za version kutoka Google. Zamani ilikuwa 4.4.1 - 5, 6, 7, 8, 9 na kuendelea
  • Ukifanya factory reset au hard reset bila kutoka email itakuomba uweke email na password yake (Google Account Verification).
Nipe sifa za Harmony ili nijue kama siyo copy ya Android. Mchina anayechoma mahindi kariakoo akutengenezee operating system. Operating system inahitaji, muda, ufanye research, fedha, madeveloper na majaribio ili OS yako iwe ya kipekee. Najua ni mpenda umbeya kwahiyo huwezi kujua sifa za Harmony. Dunia ya Mungu, vitu ni vya mzungu
 
vzr
 
The good thing is the CEO of NVDIA is American Chinese. Vitu vingine tuwe tunajadili tukiwa na akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…