Huku Marekani, hatimaye nimefunga ndoa na mpenzi wangu wa muda mrefu

Una experience na huo uchungu 🤣🤣😥
 
Hongera sana mkuu.Muishi Kwa upendo na Amani.kukoseana,kusameheana,na kuvumiliana vikawe msingi katika ndoa yenu.

Kuna mamtu zitakuja kuuzungumzia mkono wa hiyo picha ya chini
Umefanyeje mkuu
 
Ahsante noted
 
Kwa kweli hii elimu inahitajika zaidi ya elimu ya darasani maana vijana wanayumba kwa sababu hawajapata mwongozo sahihi

Hebu tukae kikao tujadili kwa upana maana hii idea ya ni ya kufingia mwaka kabisa
Wivu unawasumbia tu picha na ndoa yangu wapi na wapi? You take everything too seriuous? Kwanini hup userious wenu mkapeleke kutatua maji huko kwenu dare salaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…