Huku Marekani, hatimaye nimefunga ndoa na mpenzi wangu wa muda mrefu

Ndio mkuu
Ukizingatia hapa ni JamiiForums,nani atapenda kujipost?
Kweli kabisa watu wasicheke sana atatupia picha yuko bahamas honeymoon 😄
Oyaa joan twende mbele turudi nyuma nitumie code ya kesho wc
 
Hii ndio JF ninayeishi bongo inawezekana nikawa peke yangu wengine wote mliobaki makazi yenu ni manhattan na beverly hills[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kongole mno mkuu

Huwa nawacheck sana Ernest Makulilo na Ibrahim Onami kule pande za youtube jamaa nawakubali sana

Enjoy your honeymoon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…