Huku Mbweni hii mijengo ni ya Watanzania wenzetu?

Huku Mbweni hii mijengo ni ya Watanzania wenzetu?

Tatizo la huko ni Barabara za mitaa. Huko mbweni wamejenga kweli Barabara za mitaa na ni quality kuliko baadhi ya highways hapa Tanzania

Sema mwanangu zamani watu walikuwa wanapasifu obey, Masaki lakini sahv kuna hizi sehemu Tatu mbeleni, Goba, bonyokwa, Kigamboni kibada babu huku kuna Watu wananyanyua mijengo mzee siku s nyingi Masaki na obey patakuwa si dil tena
Masaki and obay pamekua maeneo ya maofisi na syo ilvokua zaman......wengi wanaokaa mbweni walkaa huko zaman
 
Tatizo nini?
Mmejilimbikizia mali sana huko mbweni ,mama kizimkazi naye kajenga ikulu huko mbweni ,jumba lake lipo kona ,serikali imepiga lami hadi mlangoni kwakwe ,hakai mtu lakini ulinzi wa hatari ,misuse of resources za umma maana wanaolinda pale ni wafanyakazi wa umma...Wamejenga lami kuanzia barabara ya kwanza hadi ya 6 maeneo ambayo bado hayajajengwa ,viwanja tengefu.

Utawekaje lami mbweni yote wakati barabara kubwa za tanroad huko dar hazina lami kisa wanakaa wanasiasa ?
 
Sema mwanangu zamani watu walikuwa wanapasifu obey, Masaki lakini sahv kuna hizi sehemu Tatu mbeleni, Goba, bonyokwa, Kigamboni kibada babu huku kuna Watu wananyanyua mijengo mzee siku s nyingi Masaki na obey patakuwa si dil tena
Hizo sehemu ulizotaja sehemu kubwa hazijapiwa ,mbweni % kubwa imepimwa na huko kuna wanasiasa ,wafanyabiasha wakubwa na dayaspora wana mizigo ya hatari.
 
Back
Top Bottom