Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6

Huwezi kupanga kuangusha serikali ukabaki salama sio Tanzania sio nchi yoyote duniani.
 
Ni muda muafaka Tesha na wajeda wenzake waingie kazini. Lakini pia sisi Watanganyika wote tupinge huu uhuni, uonevu kwa njia yoyote ile itakayokomesha huu uhuni.
Kaonewa nini? wewe ungekuwa serikali ungemfanya nini mtu mwenye kuleta taharuki nchini, kutaja watu majina bila ushahidi na kuchochea vurugu. Hii habari njema kwa wapenda amani.
 
Kama umewahi kusikiliza speech za Polepole zote, utajua kabisa ni jinsi gani alivyomakini. Mimi binafsi hili jambo la kutekwa kwake haliingii akilini kabisa. KUNAJAMBO LINAUNDWA HAPA SI BURE. POLEPOLE SI BOYA KIIVYO. Hivi mmewahi jiuliza yule msaidizi ambae magufuli alimwambia polepole ampe zile taarifa za kuhusu kuuawa kwake, Je huyo msaidizi ni nani?
 
Haipo hiyo CCM mwenyekiti wa wakati huon ndo ana nguvu zote kumbuka ndo rais so ukiondoka na lako halipo ,hata magufuli kama angestaafu asingekua na hiyo nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…