Angekuwa timamu angewachokoa Hadi wamvue uanachama Kama tu alivyoingia CCM Kwa kuletwa, angevizia wamfukuze...ingejenga heshima yake na kuonyesha yupo loyal....hivi anavyohangaika, tunamuona ni Kama mtu aliyedata baada ya maslahi yake kukatishwa.Alikuwa anachimba kaburi lake leo ndio mazishi yake
Mnamlisha maneno tu. Tutaona kama ulichokiandika, ndicho polepole anafikiria... Muda ni mwalimu mzuri sana. Ila najua tu, mnamjaza mambo asiyotaka kufanya.Hi guys. Hope mnado poa.
Kuna page imeandika kuwa bwana Polepole atajitoa chamani wakishirikina na taasisi 2.
Hii ni nyepesi nyepesi.
At Calvary.
====
Taarifa kwa Vyombo vya Habari.
Jumamosi tarehe 11, Disemba 2021 saa 5:00 Asubuhi nitazungumza na Wanahabari pamoja na Mambo mengine nitazungumzia Shule ya Uongozi | The Leadership School. Mahali - Ofisi za Kituo cha Msaada wa Kisheria na Haki za Binadamu (LHRC).
-Ujamaa ni Imani-
View attachment 2039936View attachment 2039938
Kwa dhambi hii hata mimi huyo nilimtilia mashaka...Hayati alikuwa na dhamira ya dhati kwa nchi yake na alitaka kubadili system kabisa kuwaondoa mafisadi....wao waka pitiliza kwa ubabe huku wakiwa hawapo sawa kidhamira na mwenzao, mwenzao alikuwa anafanya ubabe ili wema upite wao walikuwa wanatumia ubabe wake kufanya vyao....Kuna vidada vingi vilipitishwa ubunge kila mmoja alikuwa anatamba yeye ndiye godfather wao...kwa hili hapa nipo mbali naye kabisa japo naamini kwa sasa atakuwa amejutia aliyoyafanya, but too late to catch the train...Uzalendo hauwi uzalendo pale unapokosa chakula cha tumbo lako...Huyu ndiye alikua anaamua nani awe mbunge, kule kwetu japo mbunge wa Chadema alikua na nafasi kubwa lakini yule wa CCM aliyeshinda kura za maoni pia aliondolewa wakatuletea mbongo fleva.
CCM wanaiogopa sana hiyo, usifanye ionekane kama ni jambo la kawaida!
Na akitoka kweli,
Vyama vya upinzani viwe Makini.
Rat Traps exist everywhere.......
🌍
🇹🇿
✌🏼
Kwa taarifa yako Polepole ndio mpinzani pekee kuliko CDMMzee wa Mavieite , tulimuonya sana kuhusu uharamia wa awamu ya 5 lakini akatupuuza
Maana halisi ya demokrasia ni uhuru wa mihimili na uchaguzi huru na wa haki.
Huyu si ndiyo alisema watu wanyamaze wakati wananyoosha nchi? Mbona yeye hataki kunyamaza?
Hakika mkuu, hajiuzulu mtu hapoHana jipya huyo, tusimpe airtime na promo yoyote, ni mviziaji wa kawaida sana. Anatafuta attention tu huku akitumika na wakubwa zake.
Umsema jambo la maana sana maana naona wanakatafutia platform haka kasukuma.polepole ndio nani?
Huyu kwangu mimi hama tofauti na machinga tuHi guys. Hope mnado poa.
Kuna page imeandika kuwa bwana Polepole atajitoa chamani wakishirikina na taasisi 2.
Hii ni nyepesi nyepesi.
At Calvary.
====
Taarifa kwa Vyombo vya Habari.
Jumamosi tarehe 11, Disemba 2021 saa 5:00 Asubuhi nitazungumza na Wanahabari pamoja na Mambo mengine nitazungumzia Shule ya Uongozi | The Leadership School. Mahali - Ofisi za Kituo cha Msaada wa Kisheria na Haki za Binadamu (LHRC).
-Ujamaa ni Imani-
View attachment 2039936View attachment 2039938
Inzi kwa sasa ana nguvu kuliko huyu chakubanga.si tunamjua Chakubanga.
vipi vietee zimekauka au?
kiujumla kwa sasa jamaa hamtishi hata nzi.
Hakuna chama chochote cha upinzani wa kweli wanaweza kumpokea huyo ndimi mbiliLabda anakwenda kuimarisha UP - Hapa Kazi Tu.
Naiona vita ya sukuma gang na wakojhani ikishika kasi kwa nguvu.Wacha wagawane fito huko CCM(vita ya panzi).
Alipiga sana fedha kipindi amekabidhiwa fuko la kuwanunua waungaji mkono.Mzee wa Mavieite , tulimuonya sana kuhusu uharamia wa awamu ya 5 lakini akatupuuza
Hakuna chama chochote cha upinzani wa kweli wanaweza kumpokea huyo ndimi mbili