Humprey Polepole atachanja au hatochanja atakapokwenda kuwa Balozi Malawi?

2) Rashid Kawawa
Inasemekana aliingia dosari wakati wa matembezi ya mshikamano kujenga jengo la chama Dodoma, kuna truck ya serikali ilionekana na building materials nyingi zikipelekwa alikozaliwa
 
Nyerere anaandika mwenyewe kwny Kitabu chake kimojawapo ( Siasa zetu na Hatma ya Tanzania) anasema Mungu huumba mara chache sana watu wa aina ya Rashid Kawawa akimsifu kwa uadilifu,nidhamu, uchapakazi na uungwana
Inasemekana aliingia dosari wakati wa matembezi ya mshikamano kujenga jengo la chama Dodoma, kuna truck ya serikali ilionekana na building materials nyingi zikipelekwa alikozaliwa
 
Huyu hapa

 
Rais Samia Hassan Suluhu amewaapisha viongozi aliowateua jana Machi 14, 2022 akiwemo Humphrey Polepole, lakini wapo Ikulu na watu asilimia 99.9 wamevaa barakoa, isipokuwa Polepole.

Hii inamaanisha nini kwa Polepole kutovaa barakoa wakati watu wengine wote kwenye chumba cha Ikulu wamevaa? Ameshikilia msimamo wake wa kuwa haamini katika barakoa? Ikulu nayo imemuacha tu hivyohivyo? Unakaa karibu na Rais tena Ikulu hauvai barakoa?

Mama Samia kazungumza kwa ufupi lakini katika tukio hilo haya yeye amevaa barakoa lakini kasoro Polepole tu, hii inamaanisha nini wadau?
 
dalil za mgomo izo
 
Uvaaji wa barakoa umepungua duniani kote. Chief Hangaya na wenzake wamekumbuka shuka kumekucha!
 
Jana tu ilikua kuvaa barakoa ni dhambi, leo ionekane nongwa kutovaa jamani?????
 
Polepole ni samaki mbichi .... wasipomkunja mapema hatakunjika.

Haka kajamaa nafikiri kana siri fulani ambayo ndiyo imekuwa survival yake kwa sasa ... Something is not right here!!
 
Anaimanisha msimamo wake kwamba Corona ni ugonjwa wa kawaida kama magonjwa mengine. Kwa hiyo hakuhitaji nguvu kubwa ya kuuhami ugonjwa huo. Kwani Mama Samia enzi za JPM akiwa makamu wa Rais alikuwa akivaa barokoa katika shughuli kama hizo za Ikulu? Kuna jambo hapo naweka na alama ya kushangaa !!!
 
Ana ujasiri. Unajua ana maana gani. Wacha stori za kuchagizana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…