Humu JF kuna kasumba ya kuwa dharau wale join 2020 kuendelea

Disrespect mbona mpaka leo ipo kwenu, nyie wenyewe kwa wenyewe?

Kila siku humu mnasemana na kubaguana wa Daslam na wa mikoani!
Mtu wa Dar anamdisrespect wa mkoani,yani yeye kua Dar tu anaona kisha maliza kila kitu,kila siku humu mnabaguana kwa dini zenu,makabila yenu na mitazamo yenu ya kisiasa,

So,hapo utagundua kua,wenye shida ni nyie na sio Diaspora,
 
Acha kabisa ndugu yangu kiukweli mengi yaliyokuwepo miaka 08 hadi 10 nyuma humu jf hayawezi kujirudia tena.

Kiufupi hao member joined 2020 na kuendelea no matter what wao wakubaliane tu na hali ikitokea sehemu tunawadogodesha huku wenyewe wakijiona wametuzidi. πŸ˜‚
 
Jf kama imepoa vile kwa mijadala yenye tija ...Nakumbuka nilikua nalala usiku mbovu nasoma mijadala tu asubuhi ukiwa unaenda kazini uko kwenye gari ni jf tu fb hata mda sina.Sasa hivi wamejaa vilaza na wabishi usela mavi,ujuaji mwingiii tunawachola tu maana kama shule tulisha kula shule zamani humu jf level za phd.
 
Bwashee ni ukweli usio na shaka, anguko la JF limeletwa na I'D nyingi kuanzia 2020+. Siku hizi hii forum haina addiction tena, kuna kipindi ilikuwa hukai dk 30 bila kulog in jamvini! Siku hizi naenda week mpaka mwezi au nikalog in halafu nakosa uzi wakusoma.

Kipindi hicho karibu kila jukwaa unakutana na uzi unavutia kiasi unashindwa uanze na uzi gani, kwanza wengi wetu humu jamvini ilituchukuwa muda kujiunga baada ya kuwa wasomaji kwa muda mrefu.

Waheshimiwe hawa wajomba wa miaka ya 2006 mpaka Tecno alivyokuja na T series zake, kiukweli hakuna kilaza miaka hiyo alikuwa na access ya internet achia mbali simu tu
 
Beira alikuwa fala sana 😁, aliyeharibu JF ni Joseverest mzee wa siti ya kwanza
 
Mkuu,unaonaje wewe ulete hiyo mijadala yenye tija ili tuwazidi hawa unaowaita vilaza na wabishi usela mavi,ujuaji mwingiii?
 
ki ufupi wageni ni wageni wakitaka heshima warudi kwa ID zilizowaleta JF

Wana nyea kambi halafu wana force heshima.heshima kwa ID MPYA heshima which
 

Ugonjwa wa kubebishana kwenye nyuzi za watu ulikuwa mkali sanaaaa kmmk πŸ˜‚πŸ˜‚
Mada ikiwekwa jukwaani page ya kwanza na ya pili tu ndo watu wanajitahidi kujadili mada, baada ya hapo ni kupendana hadharani

Wadogo zetu kina min -me hawawezi kuelewa hii kitu 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…