Humu JF kuna kasumba ya kuwa dharau wale join 2020 kuendelea

Au unakuta labda Mo ana id yake fake humu,halafu kuna kakijana kaendesha Bodaboda kanamwambia ''Tafuta hela,hama hapo kwa shemeji yako''
 
Halafu kuna hawa Platinum member,baadhi yao hua wanaona kama vile Melo ni mjomba wao.

πŸ˜€
Kuna Member mmoja aliniambia kisa we Platinum unanitishia maisha na kunidharau ? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hayo sip maisha

Kupita pita nyuzi zingine anasema yeye ni Baba wa watoto na Mke πŸ˜†

Platinum aliitafsiri vibaya Mzee yule
 
Au unakuta labda Mo ana id yake fake humu,halafu kuna kakijana kaendesha Bodaboda kanamwambia ''Tafuta hela,hama hapo kwa shemeji yako''
Utoto bhana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna I'd fulani kipindi cha nyuma nilikuwa naishambulia na kuidharau, kumbe ni mtu ambaye ni Mkurugenzi wa Fedha na utawala nchi za Gulf, akija hapa Tanzania analindwa na MP's na meeting zake na Mawaziri, na alikuwa muungwana tu yule jamaa akanipa na namba yake akaniambia yupo Serena Hotel na ujinga wangu nikaenda mpaka Serena Hotel nashangaa simu inapokelewa na mpambe akaniambia samahani Dr ana kikao na Mh Waziri, ile kuingia mpaka Serena nikaona njemba zinazomlinda aisee kama yule Bodyguard wa Magufuli πŸ˜„ mbona nilikula kona.

Hizo mambo zipo dogo anamkejeli mtu mzito bila kujua tangu siku ile kejeli nikaacha kabisa nitamjibu mtu kwa hoja sio kumkejeli nje ya hoja
 
hahahahahahahaha
 
Hawa ndio wale wanaoshindwa hata kulinda migongo yao.
 
We kajamaa kaongo kaongo alafu kajivuniπŸ˜€πŸ˜€eti kalikuwepo toka 2018 kanaomba ushauri ila wewe kajamaa kaongo
 

​

joined .........Jul 20, 2022
 
JF ya sasa, inataka watu tu "co-exist" na members wenzetu, watu wote tuwepo humu, wapya, wa zamani, watu wa utani, watu wa ego na self-esteem, pasua vichwa, wajenga hoja, boosters, wapenda vayolensi na mabifu, ma genius n.k.

Chukulia mtu vile alivyo na mawazo yake na uyaheshimu, hata kama huyakubali. Mtu ni mawazo yake na vile anavyochukulia mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…