sababu wewe ni maskini na huna lolote unalofanya hapo ndicho unachoweza kujisifia ..ngono..pole sana fukara.Angalia mama yako wanaume anaopenda kutembea nao, ndio caliber yangu. Kama anapenda masikini wa kutupwa basi mimi ni masikini wa kutupwa, kama anapenda wenye hela basi nina hela za kutosha.
pole masikini ....kuliko kujitapa ngono na matusi bora uendelee na kazi yako ya kuchimba makaburi, angalau itakusitiri mjini hapa.Nikukubali wewe unanipa mqumdu?
Hujajibu, mama yako anapenda wanaume wa aina gani?sababu wewe ni maskini na huna lolote unalofanya hapo ndicho unachoweza kujisifia ..ngono..pole sana fukara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shoga kama wewe utapenda ngono wapi na wapi? Ni mwanaume kamili tu ndio anapenda ngono.pole masikini ....kuliko kujitapa ngono na matusi bora uendelee na kazi yako ya kuchimba makaburi, angalau itakusitiri mjini hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo sio watu wazuri kabisa?Nawashangaa sana Watanzania wanaofanya kazi na Wanaijeria. Ukitaka kuwafahamu hawa watu njoo South Africa. Si wachungaji si mapadri wote matapeli na wauza unga
Kivip mkuuNimefuatilia historia yake imeniacha nikiwa naimarika kuwa mbali zaidi na raia yeyote na Wanaijeria. Hawa watu wanaitesa sana SA. Hata vurugu za wenyeji chanzo ni hawa
Eti amekaa tu na anatepeli acha hizo bob mtu katumia akili sana kutapeli pesa mingi hivyo, mbona usijaribu basi maana hata kamchezo ka tuma kwa namba hii ni utapeli ambao hata mtoto mdogo anaustukia wanaoliwa kwa hilo nao viazi, ilq jamaa katumia akili nyingi sanaHawa ndio wanatakiwa washughulikiwe watu wanatafuta pesa kwa jasho wao kazi kukaa tu na kutapeli
Uwe jambazi kama yeye sasa,Huyu jamaa namkubali kinoma infact ndo rollmodel wangu
Kuna maisha fake sana mtandaoni, sema yana inspiration ndani yake, hatuwezi ku post umasikini wetu tuna post utajiri hata kama ni fake
Sema jamaa kidume sana, cha msingi upate mkwanja legally or illegally it doesn't matter, as long unatumia akili zako but play smartView attachment 1497386
Socialite wa mitandaoni kutoka Nigeria, mfanyabishara hewa Hushpuppi aliekamatwa mwezi uliopita mjii Dubai amehamishiwa Marekani na kusomewa mashtaka ya utakatishaji pesa na uhalifu wa kimtandao.
Atuhumiwa kutaka kutapeli club moja ya EPL wamtumie Pound 100M sawa na Dollar 124M au Bilioni 280 za kitanzania.
Habari za Chini chini zinasema hii club ni Arsenal, Hushpuppi alitaka kuipiga Arsenal aitoe barabarani ikose hela ya kusajili kwa miaka 5 ishuke daraja[emoji23].
Yeye na genge lake la utapeli la kimataifa wamehusika katika wizi wa mabilioni ya pesa kwa njia ya mtandao.
Mwaka 2018 club ya Italia Lazio ililalamika kuibiwa pesa ya uhamisho kwa Vrjis, basi mwizi alikua Hushpuppi.
View attachment 1498408
Watu wanakula maisha wee kaa nyuma ya keyboard muombee mabaya [emoji23][emoji23][emoji23] dua la kuku...Uhuru na majivuno umefikia kikomo
Apambane na mkono wa sheria.
AkasemajeUyu jamaa namjua kabsa nili ongea nae kabla aja kamatwa
shangaa na wewe mkuu...Watu wanakula maisha wee kaa nyuma ya keyboard muombee mabaya [emoji23][emoji23][emoji23] dua la kuku...
fahari ya mwnaaume ni kupata hela au kupiga hela ya maana, sio hela mbuzi, sio kukalisha kalio kijiweni kumcheka mwanaume ambaye alikua ana hustle kutafuta pesa kwa njia yoyote.. sema tu alifanya mistake kidogo, watu wa interpol ndio kazi yao hua wanakesha kwenye mitandao humo kuangalia flani mbona anajionyesha hivi kua na hela nyingi, wanaanza kukufuatilia , unatakiwa ukipiga hela unaenda visiwani huko kimyaaaa unajenga mjumba wako huko au unanunua kisiwa unatulia na manzi yako..yani uishi kama ghost, kama vile mtu aliyekufa ila uko hai..Sema jamaa kidume sana, cha msingi upate mkwanja legally or illegally it doesn't matter, as long unatumia akili zako but play smart
Kuna maisha fake sana mtandaoni, sema yana inspiration ndani yake, hatuwezi ku post umasikini wetu tuna post utajiri hata kama ni fake
Ahsanteee hiyo ndiyo point mzee baba, mwanaume bila hela hata inzi zitakufuata, asilia yetu wanaume ni kupambana tupate pesa vyovyote itakavyokua iwe halali au siohalali, akili ya mwanaume ni zaidi ya mwanamke tumeumbwa kuwa wabunifu na kujiongeza,fahari ya mwnaaume ni kupata hela au kupiga hela ya maana, sio hela mbuzi, sio kukalisha kalio kijiweni kumcheka mwanaume ambaye alikua ana hustle kutafuta pesa kwa njia yoyote.. sema tu alifanya mistake kidogo, watu wa interpol ndio kazi yao hua wanakesha kwenye mitandao humo kuangalia flani mbona anajionyesha hivi kua na hela nyingi, wanaanza kukufuatilia , unatakiwa ukipiga hela unaenda visiwani huko kimyaaaa unajenga mjumba wako huko au unanunua kisiwa unatulia na manzi yako..yani uishi kama ghost, kama vile mtu aliyekufa ila uko hai..
Sent using Jamii Forums mobile app