Hussein Machozi: Nilitaka nimpige risasi Ruge, show nililipwa milioni 12 akanipa milioni 1 tu

Nilijifunza mengi kuhusu Ruge kwenye Anti Virus Mixtape. Wengi wanafanikiwa kwa kudhurumu wengine
Kuna kitu hamuelewi mimi ni dalali- promota nimekubaliana na wewe utafanya show kwa milioni 1

umekubali vizuri na ukafanya show
Ukija kugundua ilitoka milioni 30 niliyolipwa mimi kwaajili ya wewe kufanya show, hiyo haikuhusu!
na hii ni biashara kama nyingine unarusha ngumi ki vipi sasa

Ni kama harmonize na diamond, diamond alikuwa sahihi ila sehemu aliyokosea ni kutoongeza maslahi kwa msanii kadiri anavyokuwa mkubwa
 
hayo Maneno yake tu yanaonesha huyo machozi hajitambui

Yaani show yenyewe amezipata kwa kwenda kumuomba ruge amuweke.

Kwa nini yeye mwenyewe asiandike proposal ikulu kwa ajili ya kuomba awekwe kwenye show hiyo ya kumkaribisha magufuli?
Unachoandika kisome kwanza, wewe zungumzia pesa kwanini zirudishwe huo ni ukandamizaji
 
Pamoja na dhuluma yote aliyofanya mwishowe anachangiwa matibabu
 
Hao jamaa walikuwa wanachukua mabilion kwa kujifanya dhulma ,kuna mmoja dili zimekata kawa mropokaji .Aliahachanwa na King kiba na TID ..Hao jamaa walienda kusoma nje ili kuja kuwa dhulmat , inakuwaje producer kaweka beat ila anajifanya wimbo kama ni wake.
 
wabongo wanapenda kulialia sana, sasa kama yeye ndio alijiona anastahiki yote au nyingi kwenye hiyo pesa kwanini asinge organize mwenye kama ni rahisi. PUMBAV kabisa.
 
ruge hangeambulia hata mia kwenye hiyo 12M kwa muktadha huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…