Huu haukuwa muda muafaka wa Rais Samia kutembelea Marekani: Amejiweka kwenye Shinikizo la kulazimishwa kuilaani Urusi


Nakubaliana nawe kuwa UTEGEMEZI ni hulka ya viongozi wengi wa nchi maskini. Ni utegemezi ambao umeasisiwa na Wakoloni na unaendelezwa katika ukoloni mamboleo, kwa Sera za Biashara Huria na Utandawazi.

Sikubaliani na wewe kuhusu alichofanya Mwendazake kuwa ilitakiwa aweke misingi kimya kimya ya kuja kuondoa utegemezi. Miradi ya kimkakati na ujenzi wa miundombinu ya usafiri wa ardhini, maji na angani, aliyosimamia ni nguzo kuu ya kuchochea ukuaji wa uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa. Kwa mfano barabara bora na imara zinamwezesha mkulima, mvuvi, mwenye kiwanda na mfanya biashara kusafirisha mazao/bidhaa kwa haraka na gharama nafuu. Pia kuwepo kwa barabara bora na imara kunapanua soko la mazao/bidhaa. HUO NDIO MSINGI WA KUJITEGEMEA
 
She's the Radical Feminist Pundit infuenced by the American Radical Feminist Pundit from the start and she's is now applying the Platform of action and the Beijing Declaration of 1995. Alivunja hata mwiko kwa kumchagua mwanamke kuwa waziri wa ulinzi-maajabu haya. Huko nje wanamsifia sana huyu mama.
 
Naona ume mention vitu viingi ambavyo mimi sijapinga!! Mimi nimezungumzia namna ya kudil na wazungu kimya na sio kujitapa mara cjui mabeberu mara cjui wezi wa rasilimali. Hao jamaa ili ujipange sawa lazima uwe mnafiki kwao ili ukamilishe lengo lako. Lkn ukijifanya unashindana nao theoretically na practically watakumaliza.
 
Eh jf hiyo ina wataalam wengi

Ova
 
Ndo maan nimemjibu jamaa haiwezekan tulete unafiki kweny mamb ya kwel kiuhalisia ili tu kujiridhisha tunaweza kujitegemea!! Ndo ile kauli ya Mwalimu Nyerere alisema... Hatuwez kutatua tatizo kwa kudhani halipo.
 
Kwani kama Tanzania ikiilaani Urusi, hiyo laana yake inaweza kusaidia nini
 
Sina imani na Bi Mkubwa kabisa, naona kama anataka kutuingiza chaka hivii?
 
Feminism is a disguised satanic agenda iliyojificha kwenye kinachoitwa haki na usawa......
 
Nasubiria Boko lingine la mama akiwa USA. Sijui safari hii atatoa Boko Gani Mungu wangu tusubirie
 
Russia ni yakulaaniwa kabisa!
 
sio rahisi Rais kutoka huku, akakutana na rais au m/rais wa marekani bila kuwa umekaribishwa, huyu anaenda kukata mitaa na kusafisha macho. I am sceptic hajakaribishwa kaenda to attend personal matters.
 
Siasa ya Mambo ya Nje ya Tanzania ktk migogoro ya Mataifa makubwa inajulikana; ni kutofungama na upande wowote. Ilikuwa hivi tangu enzi za Mwalimu akiwa Rais na hata mgogoro wa Urusi vs Ukraine, siasa ni hiyo (NaM) na msimamo ulishatolewa.

Mwalimu Nyerere alikuwa ni Mjamaa hasa na hata Vita Baridi ilipokuwa ktk pick bado alikuwa ni rafiki wa mabepari na wajamaa. Misaada ya SIDA, DANIDA, KONOIKE nk na bado alikuwa ni rafiki wa Kennedy.

Na alisafiri hadi Marekani akapewa heshima kubwa kitaifa na JF Kennedy! What's is the issue kwa Rais Samia? Pia, ziara ya Rais siamini kama inapangwa tu ghafla kama unavyoweza kutoka Msamvu, Moro kuja kwa ankali wako Tandale, Dar! Inawezekana ilipangwa hata kabla ya moto hapo Ukraine. #Tuamini nchi inaongozwa na system makini, Tanzania ni Taifa Imara na linalojua lilkotoka, lilipo na linakoelekea.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Dunia kote kuna matatizo, is Biden really interested in meeting her? Where is the free money. Nchi haiendelei kwa mikopo na misaada, poor thinking.
Very poor and mediocre thinking indeed.Very typical of Tanzanians.
 
Kwani Mama atakutana na Babu Lao Biden mana lile Babu linalopoka chochote tu...
 
Hatufungamani na upande wowote Marekani ni mshirika wetu wa karibu na Urusi pia,ukizingatia katika kura za Umoja wa mataifa hatujamuangusha Urusi pia tunawatembelea Wamarekani kuonesha tuko na ushirikiano nao pia.
Ni ziara sahihi na wakati sahihi.
 
Mama amefanya sahihi. Once again mama amefanya the right choice.Hivi nani atakubali kumkumbatia war criminal, genocide suspect Putin. Kazi iendelee.
 
Halafu sijui huko atapokelewa na nani pale airport! Maana kiprotocol ni Rais hupokelewa na Rais!
Hizo itifaki zipo kwenu. Sina hakika kama atapata hata nafasi kuonana na Biden japo dakika 2.

Biden ana pressing issues hasa kipindi hiki cha vita na mfumko wa bei nchini kwake, apate muda wa kupoteza eti anampokea samia?!

Try to be serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…