Huu haukuwa muda muafaka wa Rais Samia kutembelea Marekani: Amejiweka kwenye Shinikizo la kulazimishwa kuilaani Urusi

Wasaidizi wa Rais Samia Suluhu Hassan wametenda kosa kubwa sana kwa kutokumshauri Rais kuwa huu haukuwa muda muafaka wa yeye kutembelea Marekani.

Marekani Ina hasira na Nchi nyingi duniani kwa kutokuiunga mkono katika harakati zake za kuitenga Urusi katika jamii ya kimataifa. Tanzania tumeamua kuwa neutral/kutokuwa na upande katika mzozo wa Urusi na Ukraine.

Kwa Marekani ukiamua kutokuwa na upande unahesabika kuwa uko upande wa Urusi, na inafanya Kila jitihada kuyatisha mataifa yenye msimamo huo Ili yailaani Urusi! Kwa hiyo ukiandaa mazingira ya kukutana na Marekani kwa Sasa lazima ikushinikize kuilaani Urusi.

Sidhani Kama mama atakuwa na ubavu wa kuhimili shinikizo la Marekani katika jambo hili. Anaweza kujikuta amesema jambo ambalo hakutegemea akiwa chini ya shinikizo. Sidhani kama ataweza kuhimili Kama India na Afrika ya kusini zilivyoweza kuhimili.

Afrika hatuwezi kulaani Nchi ya Urusi iliyokuwa mstari wa mbele Sana kwenye harakati za upatikanaji wa uhuru kusini mwa afrika-(Zimbambwe, Msumbiji, Botswana, Angola, Namibia na Afrika ya kusini).

Wakati huo wapigania uhuru akiwemo Mandera walikuwa wanaitwa magaidi na Marekani!! Chonde chonde Samia Mungu akutie nguvu uwatolee nje mabeberu huko Marekani!
Kwani kaalikwa na wenyewe au kajipeleka wiki hii si alikutana na Balozi kama shinikizo basi lingeanzia hapo.
Je agenda ya safari yake mbona haikuwekwa wazi? Yawezekana anaenda fanya shopping mapema kwa Sikukuu ya EID utajua hujui!!

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
sio rahisi Rais kutoka huku, akakutana na rais au m/rais wa marekani bila kuwa umekaribishwa, huyu anaenda kukata mitaa na kusafisha macho. I am sceptic hajakaribishwa kaenda to attend personal matters.

Hajakaribishwa! Juzi balozi alikuwa na Kinana, alipaswa aripoti kwako?
 
Mtu asiyelelewa vizuri na wazazi wake utamjua tu!! Matusi kwake ndiyo salamu, pole!

Hoja yako ni Rais aepuke kuungana na Marekani kulaani Urusi, kana kwamba hiyo laana ya TZ ina athari gani kwa Urusi…. lakini upande wako ni Urusi tayari na hutaki ilaaniwe!

Kama wewe umechagua upande basi acha kujipa haki ya kuzuia wengine, saa nyingine ukiitwa mwehu uwe unashukuru tu.
 
Wasaidizi wa Rais Samia Suluhu Hassan wametenda kosa kubwa sana kwa kutokumshauri Rais kuwa huu haukuwa muda muafaka wa yeye kutembelea Marekani.

Marekani Ina hasira na Nchi nyingi duniani kwa kutokuiunga mkono katika harakati zake za kuitenga Urusi katika jamii ya kimataifa. Tanzania tumeamua kuwa neutral/kutokuwa na upande katika mzozo wa Urusi na Ukraine.

Kwa Marekani ukiamua kutokuwa na upande unahesabika kuwa uko upande wa Urusi, na inafanya Kila jitihada kuyatisha mataifa yenye msimamo huo Ili yailaani Urusi! Kwa hiyo ukiandaa mazingira ya kukutana na Marekani kwa Sasa lazima ikushinikize kuilaani Urusi.

Sidhani Kama mama atakuwa na ubavu wa kuhimili shinikizo la Marekani katika jambo hili. Anaweza kujikuta amesema jambo ambalo hakutegemea akiwa chini ya shinikizo. Sidhani kama ataweza kuhimili Kama India na Afrika ya kusini zilivyoweza kuhimili.

Afrika hatuwezi kulaani Nchi ya Urusi iliyokuwa mstari wa mbele Sana kwenye harakati za upatikanaji wa uhuru kusini mwa afrika-(Zimbambwe, Msumbiji, Botswana, Angola, Namibia na Afrika ya kusini).

Wakati huo wapigania uhuru akiwemo Mandera walikuwa wanaitwa magaidi na Marekani!! Chonde chonde Samia Mungu akutie nguvu uwatolee nje mabeberu huko Marekani!
Pandikizi la mwendazake wapiga ramli chonganishi kaeni kimya mama atekeleze mipango yake.
 
You never know huenda ameshatishwa na sasa ameenda kuomba msamaha na kurekebisha mambo! Ngoja tusubiri.
 
Halafu sijui huko atapokelewa na nani pale airport! Maana kiprotocol ni Rais hupokelewa na Rais! Je Rais Biden ataenda kumpokea? Kinyume Cha hapo ni fedheha Sana kwa Tanzania!
Marais wengi tu hawapokelewi na Rais wa Marekani
 
Hiyo ni dharau!! Nampongeza Magufuli kukaa zaidi ya miaka 5 bila kupiga hodi kwenye mlango wa beberu yeyote!
Watanzania hatuihitaju Marekani, tunamhitaji Mungu!!
 
Wasaidizi wa Rais Samia Suluhu Hassan wametenda kosa kubwa sana kwa kutokumshauri Rais kuwa huu haukuwa muda muafaka wa yeye kutembelea Marekani.

Marekani Ina hasira na Nchi nyingi duniani kwa kutokuiunga mkono katika harakati zake za kuitenga Urusi katika jamii ya kimataifa. Tanzania tumeamua kuwa neutral/kutokuwa na upande katika mzozo wa Urusi na Ukraine.

Kwa Marekani ukiamua kutokuwa na upande unahesabika kuwa uko upande wa Urusi, na inafanya Kila jitihada kuyatisha mataifa yenye msimamo huo Ili yailaani Urusi! Kwa hiyo ukiandaa mazingira ya kukutana na Marekani kwa Sasa lazima ikushinikize kuilaani Urusi.

Sidhani Kama mama atakuwa na ubavu wa kuhimili shinikizo la Marekani katika jambo hili. Anaweza kujikuta amesema jambo ambalo hakutegemea akiwa chini ya shinikizo. Sidhani kama ataweza kuhimili Kama India na Afrika ya kusini zilivyoweza kuhimili.

Afrika hatuwezi kulaani Nchi ya Urusi iliyokuwa mstari wa mbele Sana kwenye harakati za upatikanaji wa uhuru kusini mwa afrika-(Zimbambwe, Msumbiji, Botswana, Angola, Namibia na Afrika ya kusini).

Wakati huo wapigania uhuru akiwemo Mandera walikuwa wanaitwa magaidi na Marekani!! Chonde chonde Samia Mungu akutie nguvu uwatolee nje mabeberu huko Marekani!
Msimamo wetu ulishawekwa wazi na Balozi wetu wa UN, siku zile zile vita ikiwa bado mbichi.
 
Putin afanye upumbavu wake halafu wengine waaifanye Mambo yao eti kuogopa atawaonaje? Yaani wewe unamchagulia jirani yako marafiki au maadui wewe Nani?

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Samia anadanganya tu, how on earth anaenda matekani sasa, there is almost vita ya 3 ya dunia. Thanzania is facing very high inflation, yeye aenda matekani kula bata. This was really a very poor choice, kwenda shopping!
nimegundua kiswahili kinakupiga chenga mkuu
 
Maza anakuja kiwanja kuzindua filamu ya Royal Tour 🤣 🤣 kama utani lakini ndo ukweli wenyewe.
 
Kwani akiilani Urusi kwa uvamizi wake Tanzania itapata hasara gani?
Huu ni muda wa kutulia nyumbani!! Watakuja wageni wengi kipindi hiki wakiwa na agenda ya kuilaani Urusi. Ni rahisi kuwa na ubavu wa kukataa ukiwa kwako kuliko ukiwa ugenini hasa ukiwa na agenda ya kuhitaji misaada!
 
Unaamini hivyo?
Nakubaliana na wewe. Miaka 5 iliyopita, Serikali ilifanya mambo mengi ya maendeleo, kwa fedha za ndani au mikopo, na si ombaomba ya sasa na Awamu zingine
 
Back
Top Bottom