Huu haukuwa muda muafaka wa Rais Samia kutembelea Marekani: Amejiweka kwenye Shinikizo la kulazimishwa kuilaani Urusi

Rais awalaani tuu mbwa hao wa Russia,zaidi ya kufanya nao biashara hawana cha maana kingine kwa Tzn..

Kwa beberu sio tuu kwamba tuna biashara nao ambako investors wengi wa Tzn kwa mujibu wa TIC wanatoka US,Kenya,EU na China ni bora kuwalaani hao pimbi na Putin in particular..

Ndio maana hata ziara hiyo ya Royal tour inaenda kuzinduliwa Marekani kwenye mpunga sio kwa maskini wajamaa wa Russia.
 
Fikra za utegemezi hazitatuondolea kero za maendeleo. Swali la msingi tangu tumepata uhuru tumekuwa tukitegemea na kupewa misaada, je, imetuondolea umaskini?
Misaada yote imeishia kuwanufaisha ccm na viongozi wake.
Sasa huo umasikini utaishi vp ikiwa kuna kikundi cha watu wachache wanafaidi keki ya taifa kuliko wengine?
 
Mwendazake wenu huyo hakuna alichokamilisha kwa miaka 6,alikuwa anashika mambo mengi kama mwanamke huku hajui Hata kutafuta pesa.
 
Nakubaliana na wewe. Miaka 5 iliyopita, Serikali ilifanya mambo mengi ya maendeleo, kwa fedha za ndani au mikopo, na si ombaomba ya sasa na Awamu zingine
Vipi kuhusu deni la taifa ndani ya miaka 5 iliyopita
 
Alaa kumbe huo ndio mwiko? 😆😆😆😆
 
Rubbish hii kamsimulie Mkeo au mumeo.

Ratiba hii hapa 👇



 
Achana na mapopoma na majinga hayo mkuu..

Daima nitasimama upande wa beberu
 
Umemaliza mkuu; na sifa kuu za shetani ni ulaghai na uuaji.

Hata hivyo mwisho wake hauko mbali. Ukiona hata watu wake wa karibu miaka yote kama saudia wanaanza kumgeuka, fahamu kuwa hali si shwari.
Watu mnaoamini ujinga kama huu ndio maana mnapigwa na matapeli dizaini ya kina gwaji boy..

Mtasuguliwa na kukamuliwa hadi akili ziwakae sawa.
 
Russia ni masikin?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona kila kona sasa suala la nauli limekuwa ni pasua kichwa baadhi ya maajenti wa mabasi wamaejipandishia bila hata bei elekezi ya Latra.

Sauti ya mkuu ni sauti kubwa alipaswa kuingilia kati hili suala mapema ili lisije likaharibu maisha ya watu.

Ili kulinda maslahi mapana ya raia anaowaongoza ilipaswa mkono wa mkuu wa nchi uingilie hili suala kabla ya kwenda Usa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…