Huu haukuwa muda muafaka wa Rais Samia kutembelea Marekani: Amejiweka kwenye Shinikizo la kulazimishwa kuilaani Urusi

Huu haukuwa muda muafaka wa Rais Samia kutembelea Marekani: Amejiweka kwenye Shinikizo la kulazimishwa kuilaani Urusi

kumbukeni kwamba chanzo Cha mapato nchini petu ni taifa la marekani tungekua na vyazo vyetu tusingehaha kuzurula kwao Sana tungeenda kwamatukio maalum kwakua vyazo vyetu vya mapato nchini vyakuazima hatuna namna mjuavyo bajeti inapitisha Tena ikiwa hewa bajeti zania no cash bajeti


Mnatakaje mama asiende America marekani kutembeza bakuli
Rais awalaani tuu mbwa hao wa Russia,zaidi ya kufanya nao biashara hawana cha maana kingine kwa Tzn..

Kwa beberu sio tuu kwamba tuna biashara nao ambako investors wengi wa Tzn kwa mujibu wa TIC wanatoka US,Kenya,EU na China ni bora kuwalaani hao pimbi na Putin in particular..

Ndio maana hata ziara hiyo ya Royal tour inaenda kuzinduliwa Marekani kwenye mpunga sio kwa maskini wajamaa wa Russia.
 
Fikra za utegemezi hazitatuondolea kero za maendeleo. Swali la msingi tangu tumepata uhuru tumekuwa tukitegemea na kupewa misaada, je, imetuondolea umaskini?
Misaada yote imeishia kuwanufaisha ccm na viongozi wake.
Sasa huo umasikini utaishi vp ikiwa kuna kikundi cha watu wachache wanafaidi keki ya taifa kuliko wengine?
 
Nakubaliana nawe kuwa UTEGEMEZI ni hulka ya viongozi wengi wa nchi maskini. Ni utegemezi ambao umeasisiwa na Wakoloni na unaendelezwa katika ukoloni mamboleo, kwa Sera za Biashara Huria na Utandawazi.

Sikubaliani na wewe kuhusu alichofanya Mwendazake kuwa ilitakiwa aweke misingi kimya kimya ya kuja kuondoa utegemezi. Miradi ya kimkakati na ujenzi wa miundombinu ya usafiri wa ardhini, maji na angani, aliyosimamia ni nguzo kuu ya kuchochea ukuaji wa uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa. Kwa mfano barabara bora na imara zinamwezesha mkulima, mvuvi, mwenye kiwanda na mfanya biashara kusafirisha mazao/bidhaa kwa haraka na gharama nafuu. Pia kuwepo kwa barabara bora na imara kunapanua soko la mazao/bidhaa. HUO NDIO MSINGI WA KUJITEGEMEA
Mwendazake wenu huyo hakuna alichokamilisha kwa miaka 6,alikuwa anashika mambo mengi kama mwanamke huku hajui Hata kutafuta pesa.
 
Nakubaliana na wewe. Miaka 5 iliyopita, Serikali ilifanya mambo mengi ya maendeleo, kwa fedha za ndani au mikopo, na si ombaomba ya sasa na Awamu zingine
Vipi kuhusu deni la taifa ndani ya miaka 5 iliyopita
 
She's the Radical Feminist Pundit infuenced by the American Radical Feminist Pundit from the start and she's is now applying the Platform of action and the Beijing Declaration of 1995. Alivunja hata mwiko kwa kumchagua mwanamke kuwa waziri wa ulinzi-maajabu haya. Huko nje wanamsifia sana huyu mama.
Alaa kumbe huo ndio mwiko? 😆😆😆😆
 
Kwani kaalikwa na wenyewe au kajipeleka wiki hii si alikutana na Balozi kama shinikizo basi lingeanzia hapo.
Je agenda ya safari yake mbona haikuwekwa wazi? Yawezekana anaenda fanya shopping mapema kwa Sikukuu ya EID utajua hujui!!

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
Rubbish hii kamsimulie Mkeo au mumeo.

Ratiba hii hapa 👇

Screenshot_20220413-192812.png


Screenshot_20220413-192821.png
 
Msiwe mnaropoka mambo msiyoyajua. Wewe ni mwongo mkubwa.

Hivi unajua kuwa kutoka kwa Mandela gerezani ilikuwa ni baada ya Marekani kuuwekea vikwazo utawala wa makaburu? Marekani haikuwahi kutamka kuwa Mandela au kiongpzi yeyote wa ANC ni gaidi.

Urusi haikuwahi kuzisaidia nchi za Afrika kupata uhuru. Bali wapigania uhuru wa Afrika, walikuwa wakinunua silaha toka Urusi kwa sababu ya unafuu wa bei. Urusi mchango wake kwa Afrika, iwe wakati kupigania uhuru au baada ya uhuru, ni minimum. Nchi ambayo ilikuwa na msaada kwa Afrika katika kupugania uhuru ni Kyuba, siyo Urusi.

Kitu pekee ambacho Urusi ilikuwa ikikitoa kwa nchi za Afrika ni nafasi za masomo.
Achana na mapopoma na majinga hayo mkuu..

Daima nitasimama upande wa beberu
 
Umemaliza mkuu; na sifa kuu za shetani ni ulaghai na uuaji.

Hata hivyo mwisho wake hauko mbali. Ukiona hata watu wake wa karibu miaka yote kama saudia wanaanza kumgeuka, fahamu kuwa hali si shwari.
Watu mnaoamini ujinga kama huu ndio maana mnapigwa na matapeli dizaini ya kina gwaji boy..

Mtasuguliwa na kukamuliwa hadi akili ziwakae sawa.
 
Rais awalaani tuu mbwa hao wa Russia,zaidi ya kufanya nao biashara hawana cha maana kingine kwa Tzn..

Kwa beberu sio tuu kwamba tuna biashara nao ambako investors wengi wa Tzn kwa mujibu wa TIC wanatoka US,Kenya,EU na China ni bora kuwalaani hao pimbi na Putin in particular..

Ndio maana hata ziara hiyo ya Royal tour inaenda kuzinduliwa Marekani kwenye mpunga sio kwa maskini wajamaa wa Russia.
Russia ni masikin?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona kila kona sasa suala la nauli limekuwa ni pasua kichwa baadhi ya maajenti wa mabasi wamaejipandishia bila hata bei elekezi ya Latra.

Sauti ya mkuu ni sauti kubwa alipaswa kuingilia kati hili suala mapema ili lisije likaharibu maisha ya watu.

Ili kulinda maslahi mapana ya raia anaowaongoza ilipaswa mkono wa mkuu wa nchi uingilie hili suala kabla ya kwenda Usa.
 
Back
Top Bottom