The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Rais awalaani tuu mbwa hao wa Russia,zaidi ya kufanya nao biashara hawana cha maana kingine kwa Tzn..kumbukeni kwamba chanzo Cha mapato nchini petu ni taifa la marekani tungekua na vyazo vyetu tusingehaha kuzurula kwao Sana tungeenda kwamatukio maalum kwakua vyazo vyetu vya mapato nchini vyakuazima hatuna namna mjuavyo bajeti inapitisha Tena ikiwa hewa bajeti zania no cash bajeti
Mnatakaje mama asiende America marekani kutembeza bakuli
Kwa beberu sio tuu kwamba tuna biashara nao ambako investors wengi wa Tzn kwa mujibu wa TIC wanatoka US,Kenya,EU na China ni bora kuwalaani hao pimbi na Putin in particular..
Ndio maana hata ziara hiyo ya Royal tour inaenda kuzinduliwa Marekani kwenye mpunga sio kwa maskini wajamaa wa Russia.