Niamini Mimi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2023
- 270
- 412
Astaghfirullah mi
Quran na Hadith za mtumie ni vitu constant,havibadiliki kulingana na mazingira,na jamaa katumia neno Mungu humo kuonesha ni msimamo wa aina Gani,nadhani Yuko sahihi,tofauti na hapo atakua kama nabii Tito huku bongo.Muktadha, muktadha, muktadha
Hiyo kauli ilisemwa na nani, wapi na kwanini?
Usikute ni muislamu wa Iran huyo, waislamu wa huko wanawatafsiri wanawake kitofauti, sasa utawapakazia waislamu wote
Umefunga mjadala. Umemaliza.Kitendo cha Kuoa wake wengi NI Moja ya uthibitisho kuwabaadhi ya Wanawake siô Watu.
MTU kamili hawezi kuolewa kimafungu yàani kuwa wake Wengi.
Kweli KABISAKitendo cha Kuoa wake wengi NI Moja ya uthibitisho kuwabaadhi ya Wanawake siô Watu.
MTU kamili hawezi kuolewa kimafungu yàani kuwa wake Wengi.
Mwanamke Ng'ombe au Mbuzi au Farasi au sio?Kwa Dini ya kiislam yupo Sahihi Kwa asilimia 100
Kitendo cha Kuoa wake wengi NI Moja ya uthibitisho kuwabaadhi ya Wanawake siô Watu.
MTU kamili hawezi kuolewa kimafungu yàani kuwa wake Wengi.
Mwanamke Ng'ombe au Mbuzi au Farasi au sio?
6 sio 9 ilikua 6 na akasukumia yagaMtume alioa kabiti ka miaka 9 na kuanza kukasukumia machine😭😭
Ila kumiliki michepuki kumi kwa mwanaume yenyewe sio shida, kumiliki michepuko kumi kwa mwanamke nayo sio shida.
Kislamu?Kiislam
NdioKislamu?
Haya maswali unamuuliza mleta uzi au Ayatollah? Mleta uzi yeye ni MJUMBE tu na mjumbe hauawiMkuu uislamu upo WAZI, hayo ni maneno ya nani?, ushahidi upo wapi?, Mtume alisema haya?, je mtume aliwatendea vipi wanawake,(wakaze na mabinti zake)
Note: watoto wa mtume waliokua ni wanawake
Hivi ilikua inapita kweli kwa kale katoto?Mtume ndo alionesha mfano zaidi. Akaenda oa kitoto cha miaka 6
WanakujaNgoja ng'ombe na kondoo waje tusikie wanasemaje.
Mara 7Astaghfirullah
Wewe ni mgeni hapa jamiiforum!Mnaoelewa lugha iliyotumika hizo subtitles nizakweli?
Inaonesha mleta mada anachuki na waislam
Picha Kama hii akiweka muislam anakula Ban