Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Haya sio maneno yako Mr. Kalamu ?Kama nime waelewa wewe na mleta mada:
Kwa mara ya kwanza kabisa CHADEMA wana shirikiana na jeshi la polisi kufanikisha utekaji wa kiongozi wa ACT-Wazalendo!
Au sio wewe uliosema haya?Kama nime waelewa wewe na mleta mada:
Kwa mara ya kwanza kabisa CHADEMA wana shirikiana na jeshi la polisi kufanikisha utekaji wa kiongozi wa ACT-Wazalendo!
Hivi kweli mnazo akili timamu nyie?
Kwa hiyo maana ya hayo maneno ni kuwa, mimi nimesema "CHADEMA nwanashirikiana na CCM?"? Ndivyo ulivyo elewa wewe?Haya sio maneno yako Mr. Kalamu ?
Sasa kama hukumaanisha hivyo, ni wapi mimi na mleta mada tumesema tunaamini kwamba cdm na ccm wana shirikiana?Kwa hiyo maana ya hayo maneno ni kuwa, mimi nimesema "CHADEMA nwanashirikiana na CCM?"? Ndivyo ulivyo elewa wewe?
Aiise! Mbona una jiaibisha kiasi hiki?
Jibu hoja acha kuleta sababu za kujiteteaAiise! Mbona una jiaibisha kiasi hiki?
nijibu hoja ipi wakati maneno yapo hapo yakijieleza yenyewe!Jibu hoja acha kuleta sababu za kujitetea
Uelewa wako ndyo ulishindwa kuelewa post yangu ya kwanza na ukadakia kwa kusema mimi naamini kuhusu ccm na cdm, umejichanganyea sasa unatafuta pa kutokea.nijibu hoja ipi wakati maneno yapo hapo yakijieleza yenyewe!
Ufinyu wa uelewa wako ndiyo unataka liwe jambo la kupotezea muda hapa?
Sasa umegeukia kwingine siyo. Hilo la mwanzo tumemalizana nalo?Uelewa wako ndyo ulishindwa kuelewa post yangu ya kwanza na ukadakia kwa kusema mimi naamini kuhusu ccm na cdm, umejichanganyea sasa unatafuta pa kutokea.
Nasema hivi, kama kugundua na kuziweka wazi hila za chadema ndiyo uchizi basi mi Niko tayari kuvuka mpaka wa uchizi huoHata kwenye ngazi hiyo ya "uchizi" inaonekana karibuni utaiacha nyuma; sasa sijui ni ngazi gani mbovu zaidi ya hapo utakayo iingia.
Mbona ulisha vuka muda kitambo, lakini hujitambui tu!Nasema hivi, kama kugundua na kuziweka wazi hila za chadema ndiyo uchizi basi mi Niko tayari kuvuka mpaka wa uchizi huo
Hii inakuonyesha ni kiasi gani cha tofauti za uelewa tulioi nao hapa JF. Mtu akisikia jambo tu, bila ya kujuwa undani wake, tayari na yeye anakuwa mjuwaji wa kulisemea jambo hilo.Unatoa mifano ambayo haiendani kabisa. Nani alisema Trump ni maigizo? Maigizo ya risasi kupiga sikio na kwenda kuua mtu? Au ilikuwa ni mijadala ya Bongo? Kwa sababu ndiko kwenye watu wanaotumia tumbo kufikiri.