Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Kufariki KufarakanaUkisikia Kufa Kufaana ndiyo huko!
Utakuta waziri wa kilimo, katiba na sheria na timu zao hukoKwa namna tulivyo laanika wa Afrika, janga la asili lilklotokea kule Hanang litatumiwa na wezi na mafisadi kujinufaisha wao kwa kulipana posho na malipo mengine mengi hewa fanani nayo...
Hapo Ccm Wanacheka Tu Wanajua Muda Wa Kuvuna HuuTatizo ni ccm
Wewe unaumia nn?Kwa namna tulivyo laanika wa Afrika, janga la asili lilklotokea kule Hanang litatumiwa na wezi na mafisadi kujinufaisha wao kwa kulipana posho na malipo mengine mengi hewa fanani nayo...
..lililo baya zaidi, Katesh penyewe hazipo Lodge za kulala wao na hiyo inamaanisha wanachoma mafuta asubuhi na jioni kwenda na kurejea Singida na Babati kupata huduma hizo.Wote wamejazana huko ili walipane posho tu
Ova
Ukiwaona wapo katika Nchi waliojilimbikizia mimali mingi kupitia nyadhifa zao katika uongozi ujue hao ndio waasisi wa hiyo Kansa!Kwa namna tulivyo laanika wa Afrika, janga la asili lilklotokea kule Hanang litatumiwa na wezi na mafisadi kujinufaisha wao kwa kulipana posho na malipo mengine mengi hewa fanani nayo...
Wanaenda kujionyesha na kupata posho. Jinsi kila mmoja anavyoenda bila mpamgo au na mpango wake ndio wanakwaza juhudi za uokozi na kuleta gharama kubwa isiyokua lazima.Sijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine.
View: https://twitter.com/bbcswahili/status/1731632864368738481?t=f216dFecKJtp0rzNtqnnBQ&s=19
Huko PM yupo
Mkuu wa Majeshi yupo
Mawaziri wapo
Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya Uokoaji.
Mlioko eneo la tukio tuambieni kama mnapata mahitaji stahiki kuanzia tiba,mahema,vyakula,maji,nk?
Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 49
View: https://www.instagram.com/reel/C0bT4S4MZw8/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
Walale hapo hata kwenye mahema..lililo baya zaidi, Katesh penyewe hazipo Lodge za kulala wao na hiyo inamaanisha wanachoma mafuta asubuhi na jioni kwenda na kurejea Singida na Babati kupata huduma hizo.
Hivi kinachofanyika huko Hanang Mkoani Manyara kwa sasa ni UOKOAJI au UOPOAJI????Sijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine.
View: https://twitter.com/bbcswahili/status/1731632864368738481?t=f216dFecKJtp0rzNtqnnBQ&s=19
Huko PM yupo
Mkuu wa Majeshi yupo
Mawaziri wapo
Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya Uokoaji.
Mlioko eneo la tukio tuambieni kama mnapata mahitaji stahiki kuanzia tiba,mahema,vyakula,maji,nk?
Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 49
View: https://www.instagram.com/reel/C0bT4S4MZw8/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
Waende kugawa biskuti na juice hukoKwenye matope na nywele Wanaume wamesuka na hereni [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Aiseee we ni falasi Sana 🤭😆🤣Utakuta waziri wa kilimo, katiba na sheria na timu zao huko