Huu Utitiri wa Maofisa wa Serikali kwenda Hanang, Wanaenda Kufanya Uokoaji au Kuonekana?

Huu Utitiri wa Maofisa wa Serikali kwenda Hanang, Wanaenda Kufanya Uokoaji au Kuonekana?

Kwa namna tulivyo laanika wa Afrika, janga la asili lililotokea kule Hanang litatumiwa na wezi na mafisadi kujinufaisha wao kwa kulipana posho na malipo mengine mengi hewa fanani nayo.

Ajabu zaidi, mwisho wa hilo utashuhudia waathiliwa hawatajengewa japo chumba kimoja cha kujistiri kwa kisingizio eti Serikali haina pesa!

Aliyetulaani wa Afrika hakika atakuwa alishakufa kitambo.

Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 63

PICHA: Baadhi ya viongozi wakiwa Wilayani Hanang kwenye maafa
Hanang.jpg
Hanang2.jpg
 
Kwa namna tulivyo laanika wa Afrika, janga la asili lilklotokea kule Hanang litatumiwa na wezi na mafisadi kujinufaisha wao kwa kulipana posho na malipo mengine mengi hewa fanani nayo...
Wewe unaumia nn?
 
Kwa namna tulivyo laanika wa Afrika, janga la asili lilklotokea kule Hanang litatumiwa na wezi na mafisadi kujinufaisha wao kwa kulipana posho na malipo mengine mengi hewa fanani nayo...
Ukiwaona wapo katika Nchi waliojilimbikizia mimali mingi kupitia nyadhifa zao katika uongozi ujue hao ndio waasisi wa hiyo Kansa!
 
Sijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine.

View: https://twitter.com/bbcswahili/status/1731632864368738481?t=f216dFecKJtp0rzNtqnnBQ&s=19

Huko PM yupo
Mkuu wa Majeshi yupo
Mawaziri wapo

Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya Uokoaji.

Mlioko eneo la tukio tuambieni kama mnapata mahitaji stahiki kuanzia tiba,mahema,vyakula,maji,nk?

Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 49

View: https://www.instagram.com/reel/C0bT4S4MZw8/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

Wanaenda kujionyesha na kupata posho. Jinsi kila mmoja anavyoenda bila mpamgo au na mpango wake ndio wanakwaza juhudi za uokozi na kuleta gharama kubwa isiyokua lazima.
 
..lililo baya zaidi, Katesh penyewe hazipo Lodge za kulala wao na hiyo inamaanisha wanachoma mafuta asubuhi na jioni kwenda na kurejea Singida na Babati kupata huduma hizo.
Walale hapo hata kwenye mahema
Au kwenye magari yao

Ova
 
Wanaenda kuonyesha wako pamoja na wahanga pia kuangalia nini kila wizara inaweza kufanya.
 
Sijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine.

View: https://twitter.com/bbcswahili/status/1731632864368738481?t=f216dFecKJtp0rzNtqnnBQ&s=19

Huko PM yupo
Mkuu wa Majeshi yupo
Mawaziri wapo

Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya Uokoaji.

Mlioko eneo la tukio tuambieni kama mnapata mahitaji stahiki kuanzia tiba,mahema,vyakula,maji,nk?

Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 49

View: https://www.instagram.com/reel/C0bT4S4MZw8/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

Hivi kinachofanyika huko Hanang Mkoani Manyara kwa sasa ni UOKOAJI au UOPOAJI????
Watu tayari wamefariki dunia, sasa ni UOKOAJI gani unaofanyika zaidi ya KUOPOA miili ya Wahanga wa janga hilo???
 
Kule zikija helaa ikitumika hata robo kulipa washukuru
 
Back
Top Bottom