Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Kwa namna tulivyo laanika wa Afrika, janga la asili lililotokea kule Hanang litatumiwa na wezi na mafisadi kujinufaisha wao kwa kulipana posho na malipo mengine mengi hewa fanani nayo.
Ajabu zaidi, mwisho wa hilo utashuhudia waathiliwa hawatajengewa japo chumba kimoja cha kujistiri kwa kisingizio eti Serikali haina pesa!
Aliyetulaani wa Afrika hakika atakuwa alishakufa kitambo.
Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 63
PICHA: Baadhi ya viongozi wakiwa Wilayani Hanang kwenye maafa