Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Kwamba wanapitia Mbulu ndo waende katesh au sijaelewa mantiki yako? Unatetea mitumbo yenu tu,, milima ya mbulu haihusiki na kufika katesh ikiwa wanatokea Arusha watapita babati, Dodoma watapita babati au vumbi kondoa, au SingidaWengi wenu hampajui hanang' na hamjawahi kufika huko katesh ndio maana mnaropoka baada ya kushiba kande zenu!! Yaani mnataka viongozi wa dola wapande daladala iwapitishe ktk milima ya mbulu hivi mko sawa kweli?