jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Hakuna Wazazi wa kushia hapo mkuuInawezekana binti katoka familia ya kishua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna Wazazi wa kushia hapo mkuuInawezekana binti katoka familia ya kishua.
Siku hizi wasukuma wamejanjaruka mkuuWasukuma walivyo washamba washamba hiyo ndoa km naiona inavyochechemea..!!
Dawa apige talaka kama imani inaruhusu,kama laa,Atumie mamlaka ya kichwa cha nyumba vinginevyo aukubaliutumwa wa mara ya pili.Kijana kaitwa kama mbwa nihuzuni
Huyo asipo kuwa makini mke anamuoa yeye badala ya yeye kuoa mke.Dah!!😅
Mdogo wangu huyo Bwana harusi na kwenye harusi nilikuwepo
Jamiiforum bhana😅
Mpe pole mkuuDah!!😅
Mdogo wangu huyo Bwana harusi na kwenye harusi nilikuwepo
Jamiiforum bhana😅
Umechemka lugha aliyotumia mzazi SI ya kiungwana, Kwanini asingesema nimewapa, hao ni mwili mmoja na Mali ziwe zao sio zake. Mc nae hajamtendea haki kijanaSioni tatizo hapo labda wachangiaji wengi humu ndani wanamentality za kimasikini waazazi wa bi harusi wamefurahi mtoto wao kuolewa na kwa kuwa wanamali nyingi wamempa kama zawadi baadhi ya mali sasa hapo shida kwa bwana harusi ipo wapi..?
maana mali ni za debora na amepewa na wazazi wake..
Ningekuwa mimi ningeomba mike kabisa ni weke sawa hali ya hewa ningewaambia wazazi wa mke wangu asanteni sana kwa kumpa debora zawadi mimi nitamsaidia kuzitunza na kuziongeza zaidi ili debora na watoto wetu wawe na mali nyingi zaidi.
Ni mdogo wangu huyo Bwana harusiNi kweli kabisa huyo jamaa namfahm.
Tumtakie heri tuu.
HayaNi mdogo wangu huyo Bwana harusi
Unamfahamu vipi?😅
Kijana kaenda kuiondolea familia ya binti aibu ya bundle kuisha alafu ni saa nane usikuHamna ndoa apo
jirani yangu.Ni mdogo wangu huyo Bwana harusi
Unamfahamu vipi?😅