Mtu kufa haimaanishi taarifa zimepotea, saa hizi kuna watu wapo kazini watajua mambo yake mpaka ambayo yeye hakuwahi kuyajua

mkuu izo mambo wanaweza CIA sio polisi wa sirro
 
Taarifa zake zitapatikana tu. vitambilisho na biometric vitaelezea ni nani na anakaa wapi na watu wake wa karibu ndugu jamaa ni kina nani na hao ndio watatoa picha.....
 

Chadema waongee wenyewe hapa
 
Nafuu upoteze hata asikari 20 lakini mmtie nguvuni mhalifu mtapata taarifa zake muhimu,kwani wsngempiga hata mguu yote ingekuwaje?
Taarifa zinapatikana tu ukiwa umekufa au hai tuwaachie polisi wafanye kazi yao
 
Polisi wetu wana uoga fulani hivi. Najua ni vigumu wewe kuelewa hivyo kila mtu abaki na maoni yake.

kuna tafauti kati ya kujihami na kuogopa, mtu mwenyewe ni mlevi na ashapunguza roho mbili unategemea nn? hamna maoni ya maaana uliyonayo, kila kitu mnaweza siasa!
 
Leo nimekudharau sana sikuwahi kujua kama na ww unaakili mgango kama hizi acha ushabiki wa kipumbavu we Mama linda heshima yako hata hiyo kidogo uliyonayo.

Uliponiheshimu iliniongezea nini mfano? Halafu Unamdharau mtu asiyekujua? Acha kunidemkia wewe

Nimeuliza swali, jibu.... huwezi tulia
 
 
kuna tafauti kati ya kujihami na kuogopa, mtu mwenyewe ni mlevi na ashapunguza roho mbili unategemea nn? hamna maoni ya maaana uliyonayo, kila kitu mnaweza siasa!
Watu wanakuwa wameua watu mia moja na wanakamatika ije kuwa huyo? Lack of exposure inakusumbua plus elimu ya kukariri. Magaidi wangekuwa wanaua hivyo unadhani info za mitandao yao zingejulikana?
 
Na haya ndio madhara ya kuutangazia ulimwengu habari za Ugaidi Tanzania na sasa wanafanya kweli... hii kesi ya mheshimiwa haikufaa kabisa kuletwa kwa mtindo huo wa ugaidi... sasa wanafanya kweli halafu bado Polisi wanamtafuta mchawi... tuombe Mungu copy cat isitokee au wa namna hiyo kujitokeza maeneo mengine nchini hapa...
 

huyo jamaa alikua mlevi sasa unataka taarifa gan kutoka kwake? kinywaji alichokunywa ama?
 
Kuna polisi alitaka akamkamatie mle kibandani akala ya paja yeye mwenyewe kakimbia hadi kaenda kudondokea kule getini
Huyu alitakiwa awe na cover toka kwa wenzake lakini ni udhaifu mwingine umeonekana anamsogelea mhalifu bila cover.
 
Watu wanakuwa wameua watu mia moja na wanakamatika ije kuwa huyo? Lack of exposure inakusumbua plus elimu ya kukariri. Magaidi wangekuwa wanaua hivyo unadhani info za mitandao yao zingejulikana?
Exposure gan ulionayo? nini cha maaana unacho kwenye hio exposure yako?
osama aliesumbua dunia nzima hakukamatwa kuhojiwa, mtu alielewa unamhoji nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…