Huyu mhalifu wa Selander alipaswa kukamatwa, siyo kuuawa
Wamemuua kifo chepesi sana huyu bwana walitakiwa wamkamate akiwa hai wapate taarifa kutoka kwake kupeleleza anaishi wapi ndugu jamaa na maraiki asingetia ushirikiano wanammaliza huko huko tunapewa taarifa kauawa akipatiwa matibabu. 24 season iliniharibu saba😂😂😂
Taarifa zake zitapatikana tu. vitambilisho na biometric vitaelezea ni nani na anakaa wapi na watu wake wa karibu ndugu jamaa ni kina nani na hao ndio watatoa picha.....
 
Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua.

Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano:
  • Ni nani?
  • Katumwa na nani?
  • Yuko na akina nani (wako wangapi)?
  • Nini dhamira yao?

- Nini chanzo cha wao kufanya hivi?

Kwa kumuua hawajatatua tatizo.

Polisi wetu Wana ujasiri wa kuwakamata CHADEMA tu.

Kanda maalumu ya polisi jijini Dar imeshindwa vipi kumkamata mtu huyu mmoja tu??

Chadema waongee wenyewe hapa
Screenshot_20210825-183950.jpg
 
Nafuu upoteze hata asikari 20 lakini mmtie nguvuni mhalifu mtapata taarifa zake muhimu,kwani wsngempiga hata mguu yote ingekuwaje?
Taarifa zinapatikana tu ukiwa umekufa au hai tuwaachie polisi wafanye kazi yao
 
Polisi wetu wana uoga fulani hivi. Najua ni vigumu wewe kuelewa hivyo kila mtu abaki na maoni yake.

kuna tafauti kati ya kujihami na kuogopa, mtu mwenyewe ni mlevi na ashapunguza roho mbili unategemea nn? hamna maoni ya maaana uliyonayo, kila kitu mnaweza siasa!
 
Leo nimekudharau sana sikuwahi kujua kama na ww unaakili mgango kama hizi acha ushabiki wa kipumbavu we Mama linda heshima yako hata hiyo kidogo uliyonayo.

Uliponiheshimu iliniongezea nini mfano? Halafu Unamdharau mtu asiyekujua? Acha kunidemkia wewe

Nimeuliza swali, jibu.... huwezi tulia
 
Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua.

Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano:
  • Ni nani?
  • Katumwa na nani?
  • Yuko na akina nani (wako wangapi)?
  • Nini dhamira yao?

- Nini chanzo cha wao kufanya hivi?

Kwa kumuua hawajatatua tatizo.

Polisi wetu Wana ujasiri wa kuwakamata CHADEMA tu.

Kanda maalumu ya polisi jijini Dar imeshindwa vipi kumkamata mtu huyu mmoja tu??a
 
kuna tafauti kati ya kujihami na kuogopa, mtu mwenyewe ni mlevi na ashapunguza roho mbili unategemea nn? hamna maoni ya maaana uliyonayo, kila kitu mnaweza siasa!
Watu wanakuwa wameua watu mia moja na wanakamatika ije kuwa huyo? Lack of exposure inakusumbua plus elimu ya kukariri. Magaidi wangekuwa wanaua hivyo unadhani info za mitandao yao zingejulikana?
 
Na haya ndio madhara ya kuutangazia ulimwengu habari za Ugaidi Tanzania na sasa wanafanya kweli... hii kesi ya mheshimiwa haikufaa kabisa kuletwa kwa mtindo huo wa ugaidi... sasa wanafanya kweli halafu bado Polisi wanamtafuta mchawi... tuombe Mungu copy cat isitokee au wa namna hiyo kujitokeza maeneo mengine nchini hapa...
 
Hiyo ni rule of engagement na stress of management ndo iliyotumika.

Ila kwa vile mtu alikuwa peke yake na yupo katika eneo la hatari hata kama angeuu 10 huyo kwa jeshi la polisi ingekua assert nzuri ya kuchukua primary information.

Huenda anawenzake ambao wanakuja kuhatarisha maisha ya mamia ya watu .

Hii ndo unaona kuna haja ya kuwa na jeshi la polisi la watu wasomi sio kuanzia four ya 28 hadi 32

huyo jamaa alikua mlevi sasa unataka taarifa gan kutoka kwake? kinywaji alichokunywa ama?
 
Kuna polisi alitaka akamkamatie mle kibandani akala ya paja yeye mwenyewe kakimbia hadi kaenda kudondokea kule getini
Huyu alitakiwa awe na cover toka kwa wenzake lakini ni udhaifu mwingine umeonekana anamsogelea mhalifu bila cover.
 
Watu wanakuwa wameua watu mia moja na wanakamatika ije kuwa huyo? Lack of exposure inakusumbua plus elimu ya kukariri. Magaidi wangekuwa wanaua hivyo unadhani info za mitandao yao zingejulikana?
Exposure gan ulionayo? nini cha maaana unacho kwenye hio exposure yako?
osama aliesumbua dunia nzima hakukamatwa kuhojiwa, mtu alielewa unamhoji nn?
 
Back
Top Bottom