Mamserenger
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,156
- 2,092
Yani mkuu acha tu, watanzania sisi tunajua kila kitu... Mtu ana AK mbili trna ziko loaded unasema usimuue na huku yy ameshaua na kujeruhi watu kadhaa
Madaam usisahau kuwa it was not a coordinated move. Askari walikuwa wanaokoa jahazi na kila Askari alikuwa anatarget kumuuaNingesikia idadi ya vifo ni zaidi ya 50 hapa ningekubari kuwa jamaa alikuwa anafyatua risasi ovyo, ila kwa kuwa mpaka sasa vifo ni vinne tu na majeruhi 6 basi jamaa alikiwa hafyatui risasi ovyo
Harafu jamaa aliacha kushambulia akawa ananyoosha mkono na kujipiga piga kifua mda huo ulikuwa sahihi kabisa kumlenga sehemu za kumudhoofisha na sio kumuua
Hapa kuna uzembe tukubari jamani, kwanza jamaa katamba mda mrefu sana
Yote kwa yote pole kwa familia za askari waliopeteza maisha, Mungu azilaze mahari pema peponi
Hayo ni matukio mawili tofauti.
Hakuna siasatafauti ni huyu yupo lami na yule mwingine kwenye bar ila zote ni public use of armed weapons! punguzeni siasa kwenye vitu vya msingi
Inategemea na situation mkuu, that was the right choice ukiangalia alikua anashoot hovyo
Kuna wazee wa interogation wewe usiombe kukutana wanakupiga kisu cha gotini. Hujasema unapigwa cha mkundn hujasema unamaliziwa chs koromero c bora lingekufa kifo hicho kuliko kuuliwa kwa lisasi fasta vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio wakose vile he!!!!Madaam usisahau kuwa it was not a coordinated move. Askari walikuwa wanaokoa jahazi na kila Askari alikuwa anatarget kumuua
siasa zikiwa nyingi ndo matatizo kama haya! yaani hollywood imeharibu sana watu, kwamba ukimpiga za kwenye miguu mikono haifanyi kazi kwahio watasogelea pale wanavotaka
Wao wanadhani kuuwa mhalifu ndiyo suluhishoJamaa aliyepiga risasi watu msikitini Newzealand unajua alikua na bunduki ngapi? Mwisho wa siku alidhibitiwa na wanausalama bila kuuawa.
Kama mapungufu yapo lazima yasemwe.
Achana na hizo stori za ufaransa... Tukio hilo la ufaransa lilikuwa na mazingira yake, tuzungumzie hili la leo!. Jamaa licha ya pistol aliyokuwa nayo bado alikuwa na SMG mbili, moja inaning'inia shingoni nyingine anaitumia kulenga kila anachokiona.... kumbuka SMG ina risasi thelathini na ameishaua watu wanne wewe unasema aachwe aue watu wapatao 30, aishiwe risasi wewe ndio ukamkamate?..... Wewe utakuwa askari kweli au askofu??.Hqpana siyo kweli. Kule Ufaransa kulikuwa na mtu mwenye silaha tena alikuwa kwenye eneo lenye watu wengi lkn alidhibitiwa.
Hawa wa kwetu hovyo kabisa
Mama Makakala CGI (Uhamiaji) angeingia matatizoni leo kama isingekuwa Raia kuwashtua na msafara kugeuza..
Jamaa aliyepiga risasi watu msikitini Newzealand unajua alikua na bunduki ngapi? Mwisho wa siku alidhibitiwa na wanausalama bila kuuawa.
Kama mapungufu yapo lazima yasemwe.
Katika video zote za tukio na kwa maelezo ya mashuhuda, hakuna wakati wowote yule jamaa alirusha risasi hovyo, kama ingekua hivyo angeua raia wengi Wasio na Hatia. Kila risasi aliyofyatua ilikua na malengo.